Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina mwingine zaidi yake na siwezi msaliti. Nitafute nini kwa mwingine?Ukifumaniwa
SanaaaKula Maraha ya kupaishwa View attachment 1809863
Nampenda yeye maana hata wakati ananitonhoza hakuwa na gwanda na alikuja kama raia wa kawaida tena akiwa na mazingira ya kawaida nikampenda na kumkubaliSema tu umependa gwaride la mjeda.
We Kama nani?? Hebu niache bhanaNdio......
Hujanipa idadi tafadhali?
#YNWA
Hhhha hi chaiNimekula wake saba wa wajeda.
Saizi ninademu mchepuko wangu, ni mke wa mjeda
Aiseee huyi dada anajua mahaba khaaaa sijapata ona
Yaaan ananipa wivuuu siku hizi, najikuta nakuwa na wivuuu sanaaaaaa akiniambia mjeda wake kajaa
Juzi nmemlia nyumban kwa mjeda.. Usikuu mpaka
Mishale ya saa 11 alfajiri nikawasha tukutuku langu nikasepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama mpepo
Noelia mremboo...We Kama nani?? Hebu niache bhana
Nzuri tu mwanaliverpoolNoelia mremboo...
Za jumapili mammy?
#YNWA
Mwadela !Sema tu umependa gwaride la mjeda.
Mkuu futa hii comment, mirinda nyeusi hazifai tena. 😂😂😂Penzi jipya huwa tamu kushinda mirinda nyeusi.
Mkuu ulikuwa nabii?Penzi jipya huwa tamu kushinda mirinda nyeusi.