Nimezama kwenye penzi la mjeda, sioni sisikii

Hongera sweet, wengine bado tunajikongoja
 
Siku akija kukuonesha true face utakuja hapa hapa kulia lia na kuomba ushauri
 
Hakuna majitu nayadharau kama hayo MABOYA.....kazi kula kodi zetu tu PUMBAVU.....nimeshayagongea WAKE zao kama WANNE hivi....kitandani sifuri hayo MABOYA...ni MALEVI tu.
Tatzo ulimbukeni wa papuchi..
Ni lini ulithibitisha Kuwa wabovu kitandani?
Unatakiwa utuambie yawezekana mwenzetu ulipewa interview ya kugongwa na mjeda na raia wa kawaida ndio ukajua utaofauti wao
 
Hakuna majitu nayadharau kama hayo MABOYA.....kazi kula kodi zetu tu PUMBAVU.....nimeshayagongea WAKE zao kama WANNE hivi....kitandani sifuri hayo MABOYA...ni MALEVI tu.
Mwanangu hukuogopa kuteguliwa kiuno??.
 
Nimekula wake saba wa wajeda.

Saizi ninademu mchepuko wangu, ni mke wa mjeda

Aiseee huyi dada anajua mahaba khaaaa sijapata ona

Yaaan ananipa wivuuu siku hizi, najikuta nakuwa na wivuuu sanaaaaaa akiniambia mjeda wake kajaa

Juzi nmemlia nyumban kwa mjeda.. Usikuu mpaka

Mishale ya saa 11 alfajiri nikawasha tukutuku langu nikasepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama mpepo
mkuu umeeleza kwa haraka mno..labda si mahala pake[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Nimekula wake saba wa wajeda.

Saizi ninademu mchepuko wangu, ni mke wa mjeda

Aiseee huyi dada anajua mahaba khaaaa sijapata ona

Yaaan ananipa wivuuu siku hizi, najikuta nakuwa na wivuuu sanaaaaaa akiniambia mjeda wake kajaa

Juzi nmemlia nyumban kwa mjeda.. Usikuu mpaka

Mishale ya saa 11 alfajiri nikawasha tukutuku langu nikasepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama mpepo
Sawa.Lkn tembea na K-Y.
 
Hongera mapenzi ni matamu sana sema siku hizi matapeli wa penzi wamekuwa wengi. Kitandani vipi lakini anapiga pigo za uhakika hadi unaomba mma!?
Habari wanajamvi,

Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani.

Kwa kweli shikamoo mjeda laaaaa, ananipa kile mwanamke anatakiwa kupewa!! Ananijali ananitunza utadhani malaika uwii mwanzo nilijua huenda ananiigizia kumbe ndivyo alivyo yapata mwaka sasa ila ndio penzi linazidi kuwa tamu tu jamani.

Yaani kakamilika kila idara anajua nataka nini kabla sijasema kafanya hakika duniani bado kuna wanaume, tukiwa ndani ndio ibaki kuwa siri yangu maana uwiii.

Nami najitahidi kumpa heshima, uaminifu wa kiwango cha SGR na nidhamu kama zote na sukari nampatia la hela yote yaani sitaki chezea bahati.

Mapenzi matamu nyie acha tu labda kama hujapewa.

Nalog off

Huu uzi inatakiwa auone aliyeleta hii maada 👇
cc: cocastic
 
Ngoja pesa zimuishie aje atoe nyuzi yako..!!!

Kuna watu huwa tunawasa NEGATIVITY tuu 😂😂😂

#YNWA
 
Uzuri wa wajeda bhana akiwa anakugonga unahisi kubembea juu ya yale mangao na manyota yao kuna ka hali flani hivi kakujifariji kanatokea.

Enjoy sweetheart✌️
Sorry...
Hii research ulifanya kwa WAJEDA WANGAPI?

#YNWA
 
Kila la kheri...
[/QUO
😂😂😂Ila mkuu comment zko znanifurahishaga sana kama co
Asante kwa muongozo basi ni
Subiri waje wakupe muongozo au
Kila la kheri
Asante kwa taarifa ...
Natumai mleta mada umepata muongozo.....

Naenjoy
 
Hongera mapenzi ni matamu sana sema siku hizi matapeli wa penzi wamekuwa wengi. Kitandani vipi lakini anapiga pigo za uhakika hadi unaomba mma!?
Ewaaaa hapo baby hafanyi utani ananipeleka mpaka naomba poo,

Changanya na mazoezi yake nabinuliwa kama mtoto uuu ananipa mpaka nahisi nipo peponi.

Ukomando wake hadi kitandani
 
Back
Top Bottom