Nimezama kwenye penzi la mjeda, sioni sisikii

Nimezama kwenye penzi la mjeda, sioni sisikii

Raha Sana yani
Yaani raha sana, ukiachana tu mapenzi kuna hali fulani ya kujiona uko salama yaani kama huyu wangu kitengo alichopo na cheo chake najikuta najiona namna fulani hivi.

Mkiwa barabara trafic akipiga mkono anashusha kioo tu mara mnaambiwa pita basi najikuta na mimi afande vile.
 
Nimekula wake saba wa wajeda.

Saizi ninademu mchepuko wangu, ni mke wa mjeda

Aiseee huyi dada anajua mahaba khaaaa sijapata ona

Yaaan ananipa wivuuu siku hizi, najikuta nakuwa na wivuuu sanaaaaaa akiniambia mjeda wake kajaa

Juzi nmemlia nyumban kwa mjeda.. Usikuu mpaka

Mishale ya saa 11 alfajiri nikawasha tukutuku langu nikasepa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama mpepo
Utulie na mke wako sasa mkuu.Achana na michepuko 😁
 
Waambie wenzako!!

Maana hatuaminiki kabisa washika bunduki!!!!

N.B
Tatizo mnatupenda mkiona BAKA(Ulimbo)..tumelivaa...Wengine tukilivua tunaonekana kama sabaya tu:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wanajamvi,

Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani.

Kwa kweli shikamoo mjeda laaaaa, ananipa kile mwanamke anatakiwa kupewa!! Ananijali ananitunza utadhani malaika uwii mwanzo nilijua huenda ananiigizia kumbe ndivyo alivyo yapata mwaka sasa ila ndio penzi linazidi kuwa tamu tu jamani.

Yaani kakamilika kila idara anajua nataka nini kabla sijasema kafanya hakika duniani bado kuna wanaume, tukiwa ndani ndio ibaki kuwa siri yangu maana uwiii.

Nami najitahidi kumpa heshima, uaminifu wa kiwango cha SGR na nidhamu kama zote na sukari nampatia la hela yote yaani sitaki chezea bahati.

Mapenzi matamu nyie acha tu labda kama hujapewa.

Nalog off

Sitashangaa kusikia anakaribia kustaafu maana nyie watu mmekuwa na mikakati mikali sana
 
Yaani raha sana, ukiachana tu mapenzi kuna hali fulani ya kujiona uko salama yaani kama huyu wangu kitengo alichopo na cheo chake najikuta najiona namna fulani hivi.

Mkiwa barabara trafic akipiga mkono anashusha kioo tu mara mnaambiwa pita basi najikuta na mimi afande vile.
😂😂Ndio ndio unakuwa unajiamini popote, si rahisi kumfanya mjeda a fall in love kwahiyo ukiwa nae kimahusiano na wewe automatically unajiona umekuwa mjeda, ni kujifariji tu lakini sio mbaya maana maisha mazuri yanataka kujifariji😅,

msalimie sana shemela
 
Sio kila mjeda yupo hivi ambatanisha na kabila lake mfano MSUKUMA au kanda ya ziwa ni wazuri kwenye kuhandle mapenzi
 
Yaani raha sana, ukiachana tu mapenzi kuna hali fulani ya kujiona uko salama yaani kama huyu wangu kitengo alichopo na cheo chake najikuta najiona namna fulani hivi.

Mkiwa barabara trafic akipiga mkono anashusha kioo tu mara mnaambiwa pita basi najikuta na mimi afande vile.
It's obvious you need to thank the money as well.
 
Back
Top Bottom