Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Weka mkuu maana nishazama hapa na naona kabisa kutoboa ni ngumu na ukichek kwa sasa nahitaji mliwazo kutoka kwa wadada
Kwanza usiweke ndoa kama kipaumbele sana maana aneoa ni wewe sio yeye.

Gharama za kila siku anaetoa ni wewe,,
Mibinjuko kwa bed anaejituma ni wewe.. unless una show mbovu na hauna 6+ Inches..
We date nae tu lakini milango usiifunge wala,, acha milango wazi hata kwa miaka mitano then utajua mengi..
Kwao wakitaka kukutambua chukua laki mbili na mshenga mwende mkampose binti huyo kisha rudi kaa tulia..

Kama yeye ni kichwa maji lazima ataanza kukuonyesha ile sura mbovu kama anayo yaani tabia ya ufeministi..

Kumbuka mwanamke huwa haachwi kisa anachepuka bali anaachwa kisa katuonesha kuwa anachepuka...(Hii ni point ya dharau na ni kick start button kwa ladies wengi) even at 50+ A lady may want to go.

Kwao hawana Legitimacy ya kukupress umuoe huyo binti kisa unaishi nae maana wao wana dosari tayari ya kushindwa kumlea na kumlinda mpaka amepata leakage( mtoto) akiwa hana ndoa kamili so they are sore loosers on that battle.. watulie kupiga dua tu ili Jah abless uwaondolee hiyo aibu.

After five to six years of good examination ukiwa pleased nae,, Now you are good to go for her intensively yaani unashuka kama Eagle unaclear doubts zote kwake..

Kwa huo muda wa miaka sita,,

1,, Apate muda wa subira kuiwin ndoa

2,, Utakuwa umeyafahamu vyema mahusiano yenu katika angle tatu
Kwanza mahusiano yake na Mume wake ambae sio rasmi(baba mtoto)

Pili mahusiano yake na mama yake juu ya mustakabali wenu wa maisha

Tatu mahusiano yake na mtoto wake je muda wote fikra kaziwekeza kwa mtoto wake kuliko maisha yenu? Yaani 75 au 80 percent kabeba mtoto yule licha ya ninyi kupata mtoto au watoto pamoja.

3,, No any woman is born with previllege to get marriage,, She has to settle and grind har wishes to earn it.
Sasa hapa unaona wako hakugrind wishes zake lakini bado unataka umpe zawadi ya ndoa kizembe hivyo..
She has to wait and wait untill she fully deserves it (Marriage should not be a go get for loose women, same as loose Men)

Bitches are busy telling hustling men, "Tafuta hela" But successful men are not asking bitches, "Uliangushia wapi bikra?"

Men wako na kauoga tangu wakiwa broke mpaka wanafanikiwa they dont get guts to judge and classify women..

They go for any, that's a pity..
Why compromise with someone who judged you harshly at your lower key moments?

Ishi nae, pika pakua, lakini usifunge milango untill she fully deserves it.

By Sonko Bibo to Poor Brain ( Akili Finyu).
 
Sasa mkuu hata wewe unakutana na mtu kama huyo na umempenda na unaona kabisa kwa mienendo yake awezi rudia matapishi..

How you can say to find evidence of his ex
Nini maana ya kuomba ushauri halafu majibu unayo tayari na unayang'ang'ania?

Anyway - make sure you're doing the right thing.
 
Kwanza usiweke ndoa kama kipaumbele sana maana aneoa ni wewe sio yeye.

Gharama za kila siku anaetoa ni wewe,,
Mibinjuko kwa bed anaejituma ni wewe.. unless una show mbovu na hauna 6+ Inches..
We date nae tu lakini milango usiifunge wala,, acha milango wazi hata kwa miaka mitano then utajua mengi..
Kwao wakitaka kukutambua chukua laki mbili na mshenga mwende mkampose binti huyo kisha rudi kaa tulia..

Kama yeye ni kichwa maji lazima ataanza kukuonyesha ile sura mbovu kama anayo yaani tabia ya ufeministi..

Kumbuka mwanamke huwa haachwi kisa anachepuka bali anaachwa kisa katuonesha kuwa anachepuka...(Hii ni point ya dharau na ni kick start button kwa ladies wengi) even at 50+ A lady may want to go.

Kwao hawana Legitimacy ya kukupress umuoe huyo binti kisa unaishi nae maana wao wana dosari tayari ya kushindwa kumlea na kumlinda mpaka amepata leakage( mtoto) akiwa hana ndoa kamili so they are sore loosers on that battle.. watulie kupiga dua tu ili Jah abless uwaondolee hiyo aibu.

After five to six years of good examination ukiwa pleased nae,, Now you are good to go for her intensively yaani unashuka kama Eagle unaclear doubts zote kwake..

Kwa huo muda wa miaka sita,,

1,, Apate muda wa subira kuiwin ndoa

2,, Utakuwa umeyafahamu vyema mahusiano yenu katika angle tatu
Kwanza mahusiano yake na Mume wake ambae sio rasmi(baba mtoto)

Pili mahusiano yake na mama yake juu ya mustakabali wenu wa maisha

Tatu mahusiano yake na mtoto wake je muda wote fikra kaziwekeza kwa mtoto wake kuliko maisha yenu? Yaani 75 au 80 percent kabeba mtoto yule licha ya ninyi kupata mtoto au watoto pamoja.

3,, No any woman is born with previllege to get marriage,, She has to settle and grind har wishes to earn it.
Sasa hapa unaona wako hakugrind wishes zake lakini bado unataka umpe zawadi ya ndoa kizembe hivyo..
She has to wait and wait untill she fully deserves it (Marriage should not be a go get for loose women, same as loose Men)

Bitches are busy telling hustling men, "Tafuta hela" But successful men are not asking bitches, "Uliangushia wapi bikra?"

Men wako na kauoga tangu wakiwa broke mpaka wanafanikiwa they dont get guts to judge and classify women..

They go for any, that's a pity..
Why compromise with someone who judged you harshly at your lower key moments?

Ishi nae, pika pakua, lakini usifunge milango untill she fully deserves it.

By Sonko Bibo to Poor Brain ( Akili Finyu).
Duuh wee jamaa kwanza umefanya nianze kufatilia content zako zingine...

Daaah upo vzri sana na unajua kuchambua mambo kwa kina zaidi hilo tuu nikupe hongera 🙏🙏🙏🙏🙏

Kingine mkuu kwa haya uliyo nipa hapa unaonaje ukaweka uzi mkuu ili iwe faida kwa wengine wengi zaidi maana hili ni tatizo la wengi
 
Ahsante mkuu,, na karibu pia..

Kuhusu uzi nadhani Mods kuna baadhi ya informations hawaruhusu vijana wazipate. Kwanini nasema hivi?

Mosi,, Mods kupitia mamlaka yao wamekuwa wanageuza Tittle kwa makusudi kabisa na unaweza ukadhani kuwa labda ni accidentally kwa mara ya kwanza lakini ni makusudi kabisa..
Siwezi sema nia ama dhima yao ni ipi hasa ya kuminya baadhi ya nyuzi yaani wanafanya Information manipulation.

Pili,, watafuta huo uzi na kuupoteza hapa jukwaani baada ya muda tu, hii ni ile ubabe sasa kuwa hatutaki watu wapate hiki kilichoandikwa humu..
Na umezingatia taratibu zote za kiuandishi hapo..

Tatu,, Watauvuruga uzi wako, yaani usisimame kama mono article. Hapa utaona wanauchanganya kwenye uzi wa mtu mwingine na kuuweka kama comment mle ndani ya mada..

Kuna jambo halipo sawa mahali,, Jamii yetu inaongozwa isielekee kwa ma-critical thinkers bali kwa shallow thinkers.
....It's no longer the home of great thinkers as it used to be.
 
Daaah hatari sana...
Mkuu naomba uniambie kitu kuhusu maisha ya ndoa kwa sisi vijana wapambanaji maana tunashauriwa sana tuoe na ukiangalia hali ya uchumi ndio hvo.

Lakini familia zina tuaminisha kuwa utakapooa uchumi unaweza kukua zaidi ya hapa ...

Hii imekaaje mkuu kwa mtazamo wako..
 
Kuoa kuna positive energy kwenye utafutaji,, Kinafsi maana unakuwa na goals to archieve.

Unapokuwa na familia hasa watoto ambao hawawezi kuvumilia njaa inakumotivate sana ufanye kazi ambayo hata ungekuwa single usingeifanya..

Familia ni mzigo mkubwa sana tena sana, lakini huo mzigo ndio hukusukuma wewe kuwa tayari kufanya jambo au kazi ambayo kwenye macho ya wengi hudhani unateseka lakini wewe unakuwa huwajali wao zaidi unawaona watoto wako vile wanapokuwa na furaha pindi wawapo mezani wakipata chakula.

Ila ukiwa peke yako utaona hata buku tatu kwa siku inakutosha maana unaweza kupiga pasi ndefu ukala msosi wa buku tatu hadi kesho tena mida kama hiyo..
So hapo unajikuta unakubali matokeo unakuwa comfortable kabisa wala hushituki.

Watoto ni catalyst ya wewe kubingirika na maisha mtaani hatimae unaswitch the right button..

Ukiwa solo unaweza kuridhika na kazi ya mshahara wa laki tatu na ukaishi humo hata miaka kumi na hakuna saving yoyote unafanya..but as long as maisha yako yanafiti ndani yake hutahitaji kumove for greener pastures..

Mwisho,, Kuoa ni jambo la kheri kwa kila mwanaume lakini kufunga ndoa sio jambo zuri hata kidogo kwa mwanaume..

Oa ila usifunge ndoa,, Kuoa sio kufunga ndoa japo jamii inadhani ni kitu kile kile.

Kuoa ni kuishi watu wawili wa jinsia mbili tofauti wasio na vinasaba na kupeana huduma zote stahiki za mahitajiano yao bila shurti ya makaratasi na makandamizo mengine yaani mnaishi mutually.

Ndoa ni kusaini mkataba wenye vipengele na minyororo ya kukuburuza mwanaume kwenda kortini, iwapo itatokea namna yoyote ile ukaonekana hauendi sawa kwenye ndoa.

Hata kama umekuwa blackmailed na mwanamke wako, haijalishi umepita muda gani yeye yuko eligible kukomesha mkataba huo ambao umekaa kibiashara zaidi kuanzia maandalizi ya matukio yake..

Wanawake wote hawapendi kufunga ndoa na wanaume masikini..

Lakini wako tayari kuolewa na wanaume masikini kwasababu kwenye kuolewa she is free to move away from her man coz hakuna any writting.
Kwenye ndoa kuna compesations so anafanya mkataba na penye kitu anavutia kamuda kidogo tu analianzisha..
As long as ana cheti cha form four anajua ajira ni uhakika hapo maana kuna mareferee in the name of wakili wanasheria and so on.
Mpaka watu wakusponsor foundation ya file wanakuwepo kikubwa tu wajue kuwa Poor Brain ana ukwasi wa kutosha so 50 to 100M hazitakosekana kwenye ile 30%...

So wanaume nasi tunajifunza kupush the right button at every moment..

Hakunaga sheria inayombana mtu directly bila kuwa na loopholes za wewe kumanipulate.

So ukiishi nae bila mikataba ndio ile unasikia huna haki ya kumshika ugoni and so on yote hii ni kukuintimidate wewe ili uione mifumo kandamizi kama ndio mkombozi kwako..

Swali ni je kwani nikimshika ugoni nikamuacha aende au nikifunga ndoa nikapoteza 30% ambayo haina constant figures ni kipi ambacho ni hasara zaidi kwangu?

Jibu nadhani hapo utaliona kwa hesabu za kawaida maana faini ya ugoni ni almost Tshs 500k in police stations compared na ile 30% ya divorce and some other shit stuffs like child support and so on.

We oa yeyote kikubwa awe ni yule mzuri machoni pako hata kama ukipita nae watu wote wanageuza shingo we oa huyo huyo zaa nae
Akibadilika shika mwingine mzuri wa caliber yake na kumzidi, kula maisha..

Zaa watoto wazuri kuanzia sura mpaka akili maana akili watachukua za kwako sura ya mama yao..

Zaa na mwanamke yeyote yule kwa nafasi yake hata akiwa chotara wa kiarabu wewe lenga kupanda mbegu zako sehemu nzuri ili upate mazao mazuri..
Ikifika time fulani kusanya watoto wako kutoka kwa mama zao weka kwenye ufalme wako kaa tulia..
Cha mwisho usikubali kustaafia mjini. Baada ya haso zako za maisha tafuta pori sehemu ishi paĺe jenga pale panda miti ya matunda fuga mifugo yako like mbwa mbuzi ng'ombe na kuku hata nguruwe ikibidi uifurahie nature.. sio vizuri kupigiwa kelele na hivi vyombo vya moto maisha yako yote mjini.

Huko pori kama Nature imekupendelea sana unaweza kumiliki Rav 4 yako kama sivyo nunua piki piki yako hata used kwa mtu kwa matumizi yako na watu wako huko porini..
Unaweza fungua duka la mahitaji ya watu waendelee kuleta pesa kwako kila siku hata 5 au 10k inatosha maana una kila kitu hapo ulipo Mayai unayo, maziwa unayo, mbolea unayo so mboga mboga na matunda vinatiririka kwa wingi sana.

Ukiwa level hiyo hata siku ya kufa utakufa ukiwa unatabasamu.

Maisha yanatudai vichache sana kuliko setup tunayojiwekea wenyewe.

Mjini panatudanganya na kutushawishi tuwe wezi na wajanja wajanja tu fainali inafika hakuna kitu tumefanya yaani kuanzia familia.
Unakuta una watoto wawili tu, nao wamegeuka kuwa wezi kwenye taasisi za UMMA na kuwa walamba miguu ya wezi wengine wakubwa ambao ni watawala.

Wewe ndio umebaki kuwapiga vizinga na kutoa laana zisizo na mashiko.
Ujanani ulipambana kuwaaminisha watu kuwa unataka uirun DSM. Mwisho umezeekea uani na wapangaji wako watatu vyumba vya 50k per month.

Tusiishie huko..
 
Back
Top Bottom