Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Kumbe single Maza wanapimwa kwa mwili?
Kwamba ni wanene au wembamba au warefu au wafupi au Wana sura mbaya?
Huu mwili wangu ni WA single Maza au double Maza wakuu?
Usikute watu wananichanganya?
 
Nyombi bomb...
Una lap kama bambo..
Zombi es 2kiz taku shoot kama rambo...

Uwezo wako bado kijana nenda ukalime..
Hapa bongo hapakufai blaza nenda tarime...
😁😁😁😁
mbona taarab nyingi we kima..
maneno mengi ya nini, ka una niweza pima.

ukosee, uni vagae, nikuzike mzima mzima.
 
Anajiita intel mfanya biashara,
Hkitaani hana kazi ye ni shisha na sigara..

Vishu alishasema we dogo ujichunge,
Kushindana na mimi kwanza mpaka ujifunze.

Kwa sasa nipo ni deep na hawa single maza,
Usitake bato na mimi ni bora ukanyamaza..

Intelligent businessman
Ngoja nitoke library kwanza nikuchane vzr an hapa wangeruhusu voice not daah ungechafuka kwa puch line mkuu
 
Back
Top Bottom