Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

20250123_112923.jpg
 
Sawa sawa msapinungu..
Ila nimepata wazo hili.

Ikiwa huyu single maza ananipa amani na furaha ya moyo.
Yanini niwe na dhana kuwa atakua anapasha viporo..
Why niwe na hiyo dhana (negativity).

Mkuu kiukweli mi nimepanga nile.na kusepa ila kwa jinsi anavyoonesha nidhamu hyu mtu daah i feel i lose my control....

Seriously yupo humble sana mkuu.
Yupo matured.
Kwa aliypitia nahisi imefanya apate funzo kubwa sana aiseee..

Mpaka sasa wazo la kusema nipige na kusepa limeanza kutoka maana nahisi kama takua namuumiza sana yaan mimi nilijua nimezama kwake ila kwa kitendo alichofanya leo i belive huyu mtu aaaaah mkuu acha tuu
Nioe chap bas 😌kabla sjachoka ku fake tabia yangu
 
HAA!! 🙄🙄

Kumaliza vidole vyangu ku-type yote hayo bado unaona natania!!!!???
Sasa mkuu hata wewe unakutana na mtu kama huyo na umempenda na unaona kabisa kwa mienendo yake awezi rudia matapishi..

How you can say to find evidence of his ex
 
Sawa sawa msapinungu..
Ila nimepata wazo hili.

Ikiwa huyu single maza ananipa amani na furaha ya moyo.
Yanini niwe na dhana kuwa atakua anapasha viporo..
Why niwe na hiyo dhana (negativity).

Mkuu kiukweli mi nimepanga nile.na kusepa ila kwa jinsi anavyoonesha nidhamu hyu mtu daah i feel i lose my control....

Seriously yupo humble sana mkuu.
Yupo matured.
Kwa aliypitia nahisi imefanya apate funzo kubwa sana aiseee..

Mpaka sasa wazo la kusema nipige na kusepa limeanza kutoka maana nahisi kama takua namuumiza sana yaan mimi nilijua nimezama kwake ila kwa kitendo alichofanya leo i belive huyu mtu aaaaah mkuu acha tuu
Nakutakia kila la heri. Sijui kwanini unanijia wimbo wa Dr Remi " Kipenda Roho".
 
Back
Top Bottom