Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

LI SINGO MAMA LA NINI SASA? WAKATI VITOTO VIDOGO VIBICHI MJINI VIMEJAZANA KAMA VYOTE?

MBONA UNAKUWA NA AKILI ZA KIJIMA U NGALI KIJANA MDOGO?

MBONA UNATUAIBISHA WANAUME WENZIO?
Wewe mkuu ujawahi kumuona ila naimani ukimuona lazima hata wewe utachanganyikiwa naimani hvo
 
Wakuu salama salama..

Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati.

Huyu binti ukimuona uwezi amini kama ni single mather wakuu kuna watu wana miili ya kitoto.

Nachoogopa ni kuwa mara nyingi anaongelea kuhusu watoto mara kubeba mimba..
Yaani ananichanganya as if anataka mtoto na mimi..

Kingine kanipa onyo kali sana ambalo mpaka sasa nawaza sijui nikimbie tuu
....
Wenye uzoefu na single mother.. hawa watu wapoje maana nawaza kufikilia kuoa kabisa...

Vishu Mtata
Ah poor brain kabisa.
 
Mkuu kuwa Makini wanatabia ya kutumia ushirikina wengi wao, niliwai kuwanao wawili nikajifunza mmoja alikua ananitumia kiuchumi ili nimlele mwanae wakati huo Baba mtoto yupo tena ni Mzee sawa na Baba yangu huyu alikuwa anatumia madawa ya kunipumbaza, Huyu wa pili yeye alikua njaa sana na malaya kwahiyo nikawatema wote, Sasa nilivyopata Mwanamke ambae haja zaa nimekuja kuona kuna utofauti mkubwa mno kati ya Single mother na Mwanamke ambae siyo single mother.
Mwanamke ambaye hana mtoto ni mzuri sana kujenga nae familia na uchumi tofauti na Single mother, Single Mothers huwezi kukaa nae mkapanga Malengo ya kiuchumi na kifamilia, yani yeye kipaumbele chake ni mtoto wake na cha kwanza atakuuliza una watoto ukimwambia unae na yeye atajisemesha nitazaa mtoto mwingine baada ya miaka kumi au mpaka niwe na uhakika wa mtoto wangu wa kusomq shule.
Daaah mkuu kiukweli umeongea kitu fact sana.
Kwa mantiki hiyo huyu single maza ambaye ana miaka 21 mi Awe for entertainment tuu sio nisiwe na papara nae ya kujenga maisha..

Nachukua ushauri wako kama ulivyo maana umeongelea suala la ushirikina nimeona kama kuna kitu kinaweza tokea kwangu maana najikuta napenda sana mashangazi na hawa watu hata sabbabu ya msingi sioni..

Juzi hapo nimetoka kumkataa mdada flani yaani ana vigezo vyote kuanzia matrako na u black buety sasa najiuliza kwann sijamwelewa nakuja kyzama kwa single maza...

Kingine mkuu kwa rika la sisi vijana rika la kujitafuta yaani ukikosea tyu kuwa na mwenza jua tayari ushapotezwa katika malengo yako.

Kumbuka vijana vituvinavyotutoa kwenye malengo ni pombe na wanawake na sitaki niwe miongoni mwao ndo maana nipo nafanya semen retention...
 
Hivi wanawake wengi hivi waliojaa umeshindwa kupata mmoja wa kuoa unakimbilia kwa singo maza eniwei fanya maamuzi wewe mwenyew siku kikinuka huko utakuja kupitia komenti moja moja huku
Mkuu ndio maana nipo hapa kupata ushauri ..
Unajua ishu inakuja ni kuwa nimependa mkuu wangu ila kuhusu kuoa sina uhakika

Ila nawaza je nikila nikaona ni mtamu kuliko antiel dorry mi tafanya nini...

Vishu Mtata nisaidie hapo tafanyaje
 
Wakuu salama salama..

Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati.

Huyu binti ukimuona uwezi amini kama ni single mather wakuu kuna watu wana miili ya kitoto.

Nachoogopa ni kuwa mara nyingi anaongelea kuhusu watoto mara kubeba mimba..
Yaani ananichanganya as if anataka mtoto na mimi..

Kingine kanipa onyo kali sana ambalo mpaka sasa nawaza sijui nikimbie tuu
....
Wenye uzoefu na single mother.. hawa watu wapoje maana nawaza kufikilia kuoa kabisa...

Vishu Mtata
Mkuu, wewe zama tu kabisa mpaka kilindini mengine yatajulikana mbele ya safari.
 
Kusema sasa hv wewe ni roman..?
Toka lini umebadili et
Mbona unanichanganya..... 😀😀🙌🙌🙌
msabato ni yule mshangazi ulinisimulia kwaio umechanganya,,the way nna njaa ya mahusiano nakusamehe kiroho safi ili mengne yaendelee😌
 
msabato ni yule mshangazi ulinisimulia kwaio umechanganya,,the way nna njaa ya mahusiano nakusamehe kiroho safi ili mengne yaendelee😌
Kwanza ushamaliza kufanya usafi maana toka mda ule nakusubir wewe tuu..😬😬😬
Ulisema unamwagilia bustani badooo tyuu
 
Kwanza ushamaliza kufanya usafi maana toka mda ule nakusubir wewe tuu..😬😬😬
Ulisema unamwagilia bustani badooo tyuu
umechanganya tena,,namwagilia bustani na mvua hizi🙄🙄we ni wa kukukimbia na nisigeuke nyuma,,,kwanza nianze na kukuzodoa mwanaume unaandkaje tyuu
 
umechanganya tena,,namwagilia bustani na mvua hizi🙄🙄we ni wa kukukimbia na nisigeuke nyuma,,,kwanza nianze na kukuzodoa mwanaume unaandkaje tyuu
Ahahahha daaah wee ms r huwa unaniweza sana kudadek zako
 
Back
Top Bottom