Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #181
πππππ Kwahyo wewe badala unipe mimi ushauri nasaha ukawa unanichora tuu ili niyakanyage....Ni almost mwaka. Nimekaa kwa password sana. Huwa ananiletea habari za kuishi wote lakini huwa naishia kuFLEW kama AVIATOR.
Mimi nilikua na mpango wa kukaa nae yaani nimtoe kwa bibi yake nimlete maghetoni hapa..
Ila mapka sasa naona kabisa kama itakua ngumu kutokana na vitisho navyopata humu ndani..
Kingine wewe ni mzoefu ndani ya mwaka mzima una malengo nae yapi mkuu..?