Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Sasa hujawahi nitamkia ila unanichoma huku🤣🤣🤣
Ms r mara ngap nakufata lakini unajua kunitolea maneno makali...

Nakumbuka mara ya mwisho ulisema et nisome kwanza.. ile kitu mpaka leo inaniuma 😥😥😥
 
Mkuu hyo njia ya kuipita kushoto itabidi unipe bana maaana daaah

Sema ujue nn oyaa ni mkali kinoma kwanza alijifungua mwanae akiwa bado mdogo sana... Mkali kinoma noma mkuuu
Mkuu wewe upige muda wa kuachana ukifika wewe mwenyewe utauwona tu. Yeye ndio ataondoka atakapokosa targets zake. Ila kama umezama mkuu komaa nae.

Ila nikuambie haya, siku hizi wanawake wengi wanaingia kwenye mahusiano kimkakati wa kuwanufaisha wao. Sasa ni bora ukaingia cha kike kwa mwanamke mwenye damu yako, ila single mama anaweza kukutwisha mizigo ya kumvusha mwanae kwa kigezo cha upendo. Na sisi tulivyo na utu utajikuta umemchukulia kama mwanao na kumvusha kweli, akishavuka mjomba anasepa na damu yake na wewe unapewa asante. Akili ifanye kazi
 
Wakuu salama salama..

Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati.

Huyu binti ukimuona uwezi amini kama ni single mather wakuu kuna watu wana miili ya kitoto.

Nachoogopa ni kuwa mara nyingi anaongelea kuhusu watoto mara kubeba mimba..
Yaani ananichanganya as if anataka mtoto na mimi..

Kingine kanipa onyo kali sana ambalo mpaka sasa nawaza sijui nikimbie tuu
....
Wenye uzoefu na single mother.. hawa watu wapoje maana nawaza kufikilia kuoa kabisa...

Vishu Mtata
Bila kuweka onyo hilo, huu uzi utakuwa ni moja ya takataka zilizowahi kutokea hapa JEIEFU
 
Mkuu wewe upige muda wa kuachana ukifika wewe mwenyewe utauwona tu. Yeye ndio ataondoka atakapokosa targets zake. Ila kama umezama mkuu komaa nae.

Ila nikuambie haya, siku hizi wanawake wengi wanaingia kwenye mahusiano kimkakati wa kuwanufaisha wao. Sasa ni bora ukaingia cha kike kwa mwanamke mwenye damu yako, ila single mama anaweza kukutwisha mizigo ya kumvusha mwanae kwa kigezo cha upendo. Na sisi tulivyo na utu utajikuta umemchukulia kama mwanao na kumvusha kweli, akishavuka mjomba anasepa na damu yake na wewe unapewa asante. Akili ifanye kazi
Mmmh wee jamaa upo smart..
Inaelekea una experience na hawa watu kinoma noma an daaah the way unanifafanulia hapa daah naona kabisa huyu nae yupo ki mkakati aiwezekani kusema na yeye kanikubali tuu from her heart
 
Bila kuweka onyo hilo, huu uzi utakuwa ni moja ya takataka zilizowahi kutokea hapa JEIEFU
Sema we jamaa una kuaga na maneno ya hovyo, una maneno kunya sana kwa wenzako daaah sijui kwanini mkuu...

Sawa ni takataka lakini ndo haijawahi kutokea hapa jf
.wewe ukiambiwa hivo utajiskiaje mkuu 😀😀😀😀
 
Mkuu, unapoleta uzi funguka. Mafumbo sio mchongo. Mtu akisoma amalize ndio akushauri. Umetuacha na maswali mkuu
 
We jamaa kwanza nina kesi na wewe ngoja tumalizane kwanza..

Kwanini useme uzi wa angu taka taka mkuu 😀😀😀😀
Mkuu nisamehe😆😆😆

Shida brain yako iko poor. Nina kipengele kama chako lakini. Ila mimi siku sio nyingi atajifungua mkuu

Huyu wangu ana element za uchoyo balaa. Libinafsi kama nini
 
Mkuu nisamehe😆😆😆

Shida brain yako iko poor. Nina kipengele kama chako lakini. Ila mimi siku sio nyingi atajifungua mkuu
Huwa nafatilia sana comment zako mkuu yaani si mara ya kwanza ndo maana nimeona comment yako nikaanza kucheka daaah 😀😀😀😀😀😀

Ukute hata out of jf upo hv hv mkorofi sana an
 
Back
Top Bottom