Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Fanaya mambo basi pm kinole na gomzi karibu tuu mambo siku hizi ni sgr tuu chap kwa haraka
Poa sasa skia ntakupasia namba ya shangazi dorry but umakini wa hali ya juu unahitajika maana nishaona ananiletea habari zake za shrondigerr
 
Dactar sometimes unapuliza sio 😀😀😀
Napenda utani.. charming.... kuhusu kupuliza...naona watu wanaharibikiwa kwa kupuliza na kitu nacho Linda ni kuto kuja kua mtu wa hovyo hovyo..😊☺️😊

Ikiwa na maana akitoka baba Mimi ndio baba....🏃🏃🏃🏃
 
Marekani kajitoa WHO!, ukiweza kuelewa hili basi umemaliza...😁
Kuoa ni maumuzi binafsi hakunaga ushauri kama vile ulivyoamua kumpenda ni Moyo wako ndio ulioamua, hakuna single mother Wala nani kupata mke wa kuishi nae na mkasikilizana ni BAHATI . Oa yeyote.
 
Kuoa ni maumuzi binafsi hakunaga ushauri kama vile ulivyoamua kumpenda ni Moyo wako ndio ulioamua, hakuna single mother Wala nani kupata mke wa kuishi nae na mkasikilizana ni BAHATI . Oa yeyote.
hapa hatuzungumzii ndoa umekosea uzi mkuu
 
Napenda utani.. charming.... kuhusu kupuliza...naona watu wanaharibikiwa kwa kupuliza na kitu nacho Linda ni kuto kuja kua mtu wa hovyo hovyo..😊☺️😊

Ikiwa na maana akitoka baba Mimi ndio baba....🏃🏃🏃🏃
Daaah 😀😀😀😀😀😀
Nikjua na wewe ndo wale madactar hawaingii mzigoni mpaka wastue ahahahah
 
😁😁😁😁😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌Nimecheka sana aiseeeee..

Nyie watu jau kinoma daaah.
Inamaana unataka kusema ni lazima kwanza mumewe awe amekufa ndo niwe nae..

Mkuu huyo mumewe naskia wamekaa zaidi ya miaka 7 ila walivoachana ni miezi 10 imefika .. kinachonifurahisha mwanaume ameoa pia hana mpango nae kabisa.

Kingine pia huyo mdada hajafanya mambo ya ajabu toka kipindi hiko
10 years tigedha and 10 manthi kumwagana plus hajafanya mambo ya ajabu roka kipindi hiko .... This is pooor brain 🧮

Mpe 🎤 mjumbe wa nyuma anataka kutoa onyo 🤣🤣🤣
 
Wakuu salama salama..

Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati.

Huyu binti ukimuona uwezi amini kama ni single mather wakuu kuna watu wana miili ya kitoto.

Nachoogopa ni kuwa mara nyingi anaongelea kuhusu watoto mara kubeba mimba..
Yaani ananichanganya as if anataka mtoto na mimi..

Kingine kanipa onyo kali sana ambalo mpaka sasa nawaza sijui nikimbie tuu
....
Wenye uzoefu na single mother.. hawa watu wapoje maana nawaza kufikilia kuoa kabisa...

Vishu Mtata
Onyo gani hilo kali....
 
10 years tigedha and 10 manthi kumwagana plus hajafanya mambo ya ajabu roka kipindi hiko .... This is pooor brain 🧮

Mpe 🎤 mjumbe wa nyuma anataka kutoa onyo 🤣🤣🤣
Ndio anaonekana tuu ajatumika sana mkuu
 
Back
Top Bottom