Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Ukute kakupa onyo la akikufumania anaikata hapo 😂😂
Poor Brain
Poor Brain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana shukrani watoto wao wakishakua!Not fair bro!
Yeye mwenyewe yupo nawe kimtego,Mkuu umetisha sana ..
Hapa nafanya hvo ila itabidi nimchane ukweli ajue kuwa nipo nae temporary tuu
Swali: Akilini ni nini .........Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati.
aka Kura kitu ire roo inapenda.Hakuna general term kwenye mapenzi. Fanya kile moyo wako unataka.
ID yako inasadifu. Unaposema umezama una maana gani?? Unataka kumuoa?? Kama ndio, badili ID utazinduka, kama unakula tu kisha upite kushoto, ipige haswa uiache imechakaaWakuu salama salama..
Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati.
Huyu binti ukimuona uwezi amini kama ni single mather wakuu kuna watu wana miili ya kitoto.
Nachoogopa ni kuwa mara nyingi anaongelea kuhusu watoto mara kubeba mimba..
Yaani ananichanganya as if anataka mtoto na mimi..
Kingine kanipa onyo kali sana ambalo mpaka sasa nawaza sijui nikimbie tuu
....
Wenye uzoefu na single mother.. hawa watu wapoje maana nawaza kufikilia kuoa kabisa...
Vishu Mtata
Jamni nawasumbua na nini tena mkuu 😀😀😀😀😀😀😀Unaamini kinywa cha mwanamke kwenye situation kama hiyo, hivi unajua wewe unatusumbua sana humu ndani 🤣🤣🤣
Wee utapenda vtu vya ajabu basiaka Kura kitu ire roo inapenda.
Nataka niipige tuu mkuu yaani niikamie mkuu..ID yako inasadifu. Unaposema umezama una maana gani?? Unataka kumuoa?? Kama ndio, badili ID utazinduka, kama unakula tu kisha upite kushoto, ipige haswa uiache imechakaa
Mgeni hvi wewe upo wapi maana kuna mtu huku mtaani namfananisha na wewe kabisa..Ukute kakupa onyo la akikufumania anaikata hapo 😂😂
Poor Brain
Mkuu huyu mtu mwanae yupo kwa baba ake huko..Yeye mwenyewe yupo nawe kimtego,
Single mother anakuwa nawe kwa lengo la kumlea mwanae na si kuwa anakupenda!
Wanamsemo kuwa anataka kukaa peke yake kwa kuwa ameumizwa sana Ni uongo single mother wanapenda kuishi kivyao kwa kuwa asilimia kubwa ni wadangaji haswa!
Mbele ya shape akili huwa inakusaliti kakaSwali: Akilini ni nini .........
Jibu: akili ni uwoga uliochanganyika na wasiwasi
Kilalaheri mkuu kwenye maamuzi yako ya kutumia akili
Kama ni hivyo safi. Yaani ichakate hadi atakaeichakata baada yako ajue kuwa huu mgodi umebaki shimo tuNataka niipige tuu mkuu yaani niikamie mkuu..
Mkuu yaani nataka niikamie niishinone mpaka isahau kama ushawahi kuwa na mume hapo nyuma
Oaaa weeeee hivi kama ulikua akilini kwangu..Kama ni hivyo safi. Yaani ichakate hadi atakaeichakata baada yako ajue kuwa huu mgodi umebaki shimo tu
Kuna mahala anakuchota akili. Kwamba kzima mazima, hio ni michezo. Huyo.l ni mzima ana akili na anajua anachokitaka. Ni wanja wanja sana wakitaka jambo lao liende, hakuna kitu utakosa kwao, na hapo ndio wapumbavu huingizwa mkenge. Wewe ipige huku ukijua siku yoyote anapita kushoto.Oaaa weeeee hivi kama ulikua akilini kwangu..
Japan kanipa mkwara anasema nikiwa nae hey ndo mazima ole wangu nilete ungese wa kusema sijui pita hvi...
Kingine huyu single maza kazma mazima mkuu yaani kazama mazima kiufupi nikishqpiga inabidi nijue na njia ya kumtema maana sitaki mambo ya kugonganisha hapa mtaa...
Oooooh maana nisipokuwa seriously huelewi ahahahahahhhaKijana umekuja kunisema kijanja sana😂😂😂😂nmekuelewa
nacheka huku nalia apaOooooh maana nisipokuwa seriously huelewi ahahahahahhha
Mkuu hyo njia ya kuipita kushoto itabidi unipe bana maaana daaahKuna mahala anakuchota akili. Kwamba kzima mazima, hio ni michezo. Huyo.l ni mzima ana akili na anajua anachokitaka. Ni wanja wanja sana wakitaka jambo lao liende, hakuna kitu utakosa kwao, na hapo ndio wapumbavu huingizwa mkenge. Wewe ipige huku ukijua siku yoyote anapita kushoto.