Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Huwa nafatilia sana comment zako mkuu yaani si mara ya kwanza ndo maana nimeona comment yako nikaanza kucheka daaah 😀😀😀😀😀😀

Ukute hata out of jf upo hv hv mkorofi sana an
Hapana mkuu, mimi mtu humble sana. Sinaga makuu kabisa aisee. Keyboard isikuaminishe hivyo mkuu
 
Namuonea huruma atakaye jichanganya kwa huyu single maza.Ndugu yangu huyu sijui nani atambeba make hata mimi ndugu yake nimemshindwa yaani lile ni box tupu.
Mmmmmh mkuu ebu tuongee vzr kwanza an unamaanisha..
 
Mmmh wee jamaa upo smart..
Inaelekea una experience na hawa watu kinoma noma an daaah the way unanifafanulia hapa daah naona kabisa huyu nae yupo ki mkakati aiwezekani kusema na yeye kanikubali tuu from her heart
Yangu ni hayo tu mkuu. Kaa kimkakati, ipige haswaa, ila usiingizwe mkenge wa kuhudumia hadi mtoto. Kama utafanya hivyo fanya kwa kiwango ambacho upo tayari kupoteza au ufanye unatoa sadaka haitakuuma. Ula kama utafanya ili yeye ukulipe mapenzi unayoyapata sasa uyapate forever, basi kuna siku utalia na kukumbuka huu uzi. Mkuu ndoto ya kila single mama ni kupata mwanaume atakaemjali mtoto wake, akimpata huyo baasii anampa kila kitu na kila style, na hapo ndipo wanaume wengi hupimbazwa. Unapewa mbususu usiku asubuhi una authorize ada ya daycare ya mtoto wake, halafu akitoka public anajisifu kuwa analea mtoto wake peke yake, mixer kusema ‘single and independent’. Kaa kijanja mkuu
 
Ms r mara ngap nakufata lakini unajua kunitolea maneno makali...

Nakumbuka mara ya mwisho ulisema et nisome kwanza.. ile kitu mpaka leo inaniuma 😥😥😥
Hahahaha kama kwel vile 😂😂😂😂
 
Utanishukuru,mimi ni mwanamke sio kwamba nawakandia ila kwa hawa ndugu zangu watatu basi nakushauri ufanye biashara ingine
Asante mkuu ngoja nifanye hvo..
Au nimwambie ukweli tuu kuwa mimi na yeye ni kutoana nyege tuu.

Ila na wasi wasi anaweza nitegesheq mtoto maana juzi alikua anaongelea sana kuhusu mambo ya mimba et anatafuta mtoto mwingine
 
Yangu ni hayo tu mkuu. Kaa kimkakati, ipige haswaa, ila usiingizwe mkenge wa kuhudumia hadi mtoto. Kama utafanya hivyo fanya kwa kiwango ambacho upo tayari kupoteza au ufanye unatoa sadaka haitakuuma. Ula kama utafanya ili yeye ukulipe mapenzi unayoyapata sasa uyapate forever, basi kuna siku utalia na kukumbuka huu uzi. Mkuu ndoto ya kila single mama ni kupata mwanaume atakaemjali mtoto wake, akimpata huyo baasii anampa kila kitu na kila style, na hapo ndipo wanaume wengi hupimbazwa. Unapewa mbususu usiku asubuhi una authorize ada ya daycare ya mtoto wake. Kaa kijanja mkuu
😀😀😀😀😀Mkuu kwanza nashukuru snaa kwa ushauri wako..

Aiseee sio mda nakuja pm kila update takuwa nakupa mkuu ili nijue kila kitu aiseee maana naona kabisa upo deep sana kwa hii sector 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌
 
Aaaaaah wapi....
Labda ngoja tuoneee maana unakuaga na comments za kukera sana wewe 😀😀🙌🙌🙌🙌
Take it easy mkuu. Ila pia nina hilo singomaza Choyochoyo tu. Jana nimelipa hela likanunue nguo usiku nikaliambia usiku lipike nsosi ntapita kula, imefika usiku nalipigia linaniambia halijapika limenunua mihogo ya kukaanga. Liliniudhi sana. Sio mara ya kwanza, lina elements hizo hadi kwa rafiki zake.

Hili jitu ni bure kabisa. Sijui sharti ulilopewa, ila ni bora kuliko hili janamke aisee
 
😀😀😀😀😀😀Ahahaha kumbe na wewe ni familia..

Sasa wewe naweza sema ni kontawa kwa hawa single mom mkuu kwanza hongera yako..

Umekaa nae kwa mda gani mkuu maana naona kama unainjoi sana mpaka mmefikia hatua hyo
 
😀😀😀😀😀Mkuu kwanza nashukuru snaa kwa ushauri wako..

Aiseee sio mda nakuja pm kila update takuwa nakupa mkuu ili nijue kila kitu aiseee maana naona kabisa upo deep sana kwa hii sector 🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌
😂😂😂 hapana mkuu sio kuwa deep, ni kuwasoma tu hawa viumbe
 
😀😀😀😀😀😀Ahahaha kumbe na wewe ni familia..

Sasa wewe naweza sema ni kontawa kwa hawa single mom mkuu kwanza hongera yako..

Umekaa nae kwa mda gani mkuu maana naona kama unainjoi sana mpaka mmefikia hatua hyo
Ni almost mwaka. Nimekaa kwa password sana. Huwa ananiletea habari za kuishi wote lakini huwa naishia kuFLEW kama AVIATOR.
 
Back
Top Bottom