Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

Nimezama kwenye penzi la single mother ila naogopa

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒNimecheka sana aiseeeee..

Nyie watu jau kinoma daaah.
Inamaana unataka kusema ni lazima kwanza mumewe awe amekufa ndo niwe nae..

Mkuu huyo mumewe naskia wamekaa zaidi ya miaka 7 ila walivoachana ni miezi 10 imefika .. kinachonifurahisha mwanaume ameoa pia hana mpango nae kabisa.

Kingine pia huyo mdada hajafanya mambo ya ajabu toka kipindi hiko
Wewe angalia usijekuwa unataka kumuoa EX wangu!!

Hakika nitakupa hongera na sitokaa nikusumbulie mke..

But....but...but... kama ni yeye basi nikwambie kuwa this time around!! Vavalaih, You f*cked with the rwong person.. Waaah!! makosha.
 
Neno single maza watu wanalichukulia ndivyo sivyo. Kama umemwelewa oa. Wengine tulibikiri tuliishia kuchapiwa na kuachwa.
We ni shujaa!! Jipongeze sana..
Nani anaweza kucomfirm hapa kwamba kuzeeka na mtu mmoja ni ushindi??
Ni issue tu ya saikolojia lakini nje ya hako kasaikolojia haiko hivyo..
Unaishi na Aisha kwa kipindi fulani, ule mchecheto wa mapenzi ukiisha na heshima ikiisha na msisimko ukiisha basi kila mtu inabidi atafute mwingine,,

Usilalamike maana unakuwa umepewa nafasi ya kumdate mtu mwingine mwenye ladha na vibe tofauti.

Mapenzi ni kuexperience atmosphere tofauti hata kumi au ishirini kwa mwanaume..
Grass gets grey? You keep on graizing on it?
Nope, we gotta look for greener pastures..
Go for younger ladies than your EX
Kama uliweza kupata bikra means you are a High profile hunter,, unless it was a fluke.
 
Mmmh wee jamaa upo smart..
Inaelekea una experience na hawa watu kinoma noma an daaah the way unanifafanulia hapa daah naona kabisa huyu nae yupo ki mkakati aiwezekani kusema na yeye kanikubali tuu from her heart
Nikusaidie ushauri??
Mimi nadate na hawa single maza mpaka now yaani nilianza nao na naendelea nao na sitawaacha
Kuna mbinu naitumia kwao na wananiona malaika au bwege mwanzoni but mwishoni huwa wananichukia sana yaani wao na familia zao..
Ukihitaji msaada nitaweka hapa kwa faida ya wengi..
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒNimecheka sana aiseeeee..

Nyie watu jau kinoma daaah.
Inamaana unataka kusema ni lazima kwanza mumewe awe amekufa ndo niwe nae..

Mkuu huyo mumewe naskia wamekaa zaidi ya miaka 7 ila walivoachana ni miezi 10 imefika .. kinachonifurahisha mwanaume ameoa pia hana mpango nae kabisa.

Kingine pia huyo mdada hajafanya mambo ya ajabu toka kipindi hiko
Anatumia uzazi wa mpango ?
Na kama muislam muoe
 
Haijalishi awe ameoa mke mwingine au hata aoe wake 70 wengine

Kwa Fact kwamba baba mtoto wa mchumba wakk anapumua, Usioe huyo single mother!!
 
LI SINGO MAMA LA NINI SASA? WAKATI VITOTO VIDOGO VIBICHI MJINI VIMEJAZANA KAMA VYOTE?

MBONA UNAKUWA NA AKILI ZA KIJIMA U NGALI KIJANA MDOGO?

MBONA UNATUAIBISHA WANAUME WENZIO?
 
Mkuu huyu mtu mwanae yupo kwa baba ake huko..
Na cha kufurahisha huyo baba mtu kashaoa mkuu...

Alafu kingine kizri ni kuw huyu single maza ana matrako mkuu acha tuu..

Juzi kaja kavaa suruali ya jinsi aiseee nusu niropoke kuwa tamchukua yeye na mwanae
Hamna kitu hapo ndiyo Mana hajaolewa yeye,
Ishi naye ndiyo utajua hujui
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kwahyo wewe badala unipe mimi ushauri nasaha ukawa unanichora tuu ili niyakanyage....

Mimi nilikua na mpango wa kukaa nae yaani nimtoe kwa bibi yake nimlete maghetoni hapa..

Ila mapka sasa naona kabisa kama itakua ngumu kutokana na vitisho navyopata humu ndani..

Kingine wewe ni mzoefu ndani ya mwaka mzima una malengo nae yapi mkuu..?
Mkuu kuwa Makini wanatabia ya kutumia ushirikina wengi wao, niliwai kuwanao wawili nikajifunza mmoja alikua ananitumia kiuchumi ili nimlele mwanae wakati huo Baba mtoto yupo tena ni Mzee sawa na Baba yangu huyu alikuwa anatumia madawa ya kunipumbaza, Huyu wa pili yeye alikua njaa sana na malaya kwahiyo nikawatema wote, Sasa nilivyopata Mwanamke ambae haja zaa nimekuja kuona kuna utofauti mkubwa mno kati ya Single mother na Mwanamke ambae siyo single mother.
Mwanamke ambaye hana mtoto ni mzuri sana kujenga nae familia na uchumi tofauti na Single mother, Single Mothers huwezi kukaa nae mkapanga Malengo ya kiuchumi na kifamilia, yani yeye kipaumbele chake ni mtoto wake na cha kwanza atakuuliza una watoto ukimwambia unae na yeye atajisemesha nitazaa mtoto mwingine baada ya miaka kumi au mpaka niwe na uhakika wa mtoto wangu wa kusomq shule.
 
Hivi wanawake wengi hivi waliojaa umeshindwa kupata mmoja wa kuoa unakimbilia kwa singo maza eniwei fanya maamuzi wewe mwenyew siku kikinuka huko utakuja kupitia komenti moja moja huku
 
Wewe angalia usijekuwa unataka kumuoa EX wangu!!

Hakika nitakupa hongera na sitokaa nikusumbulie mke..

But....but...but... kama ni yeye basi nikwambie kuwa this time around!! Vavalaih, You f*cked with the rwong person.. Waaah!! makosha.
Hii ni complex mkuu..
Ngoja nikuoneshe ni jinsi gani naenda kumchakata hovyo hvyo hiyo kesho
 
We ni shujaa!! Jipongeze sana..
Nani anaweza kucomfirm hapa kwamba kuzeeka na mtu mmoja ni ushindi??
Ni issue tu ya saikolojia lakini nje ya hako kasaikolojia haiko hivyo..
Unaishi na Aisha kwa kipindi fulani, ule mchecheto wa mapenzi ukiisha na heshima ikiisha na msisimko ukiisha basi kila mtu inabidi atafute mwingine,,

Usilalamike maana unakuwa umepewa nafasi ya kumdate mtu mwingine mwenye ladha na vibe tofauti.

Mapenzi ni kuexperience atmosphere tofauti hata kumi au ishirini kwa mwanaume..
Grass gets grey? You keep on graizing on it?
Nope, we gotta look for greener pastures..
Go for younger ladies than your EX
Kama uliweza kupata bikra means you are a High profile hunter,, unless it was a fluke.
Duuuh hi ni complex comment
 
Nikusaidie ushauri??
Mimi nadate na hawa single maza mpaka now yaani nilianza nao na naendelea nao na sitawaacha
Kuna mbinu naitumia kwao na wananiona malaika au bwege mwanzoni but mwishoni huwa wananichukia sana yaani wao na familia zao..
Ukihitaji msaada nitaweka hapa kwa faida ya wengi..
Weka mkuu maana nishazama hapa na naona kabisa kutoboa ni ngumu na ukichek kwa sasa nahitaji mliwazo kutoka kwa wadada
 
Anatumia uzazi wa mpango ?
Na kama muislam muoe
Umewaza nini mkuu kusema hvi kuhusu uzazi wa mpango na dini...?

Ni MSAbato..
Kuhusu uzazi wa mpango sina uhakika
 
Haijalishi awe ameoa mke mwingine au hata aoe wake 70 wengine

Kwa Fact kwamba baba mtoto wa mchumba wakk anapumua, Usioe huyo single mother!!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Alafu wee jamaa ukute upo seriously kabisa an daaah
 
Back
Top Bottom