Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 1,384
- 2,880
Poor brain maana yake nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
K za BureWakuu salama salama..
Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati.
Huyu binti ukimuona uwezi amini kama ni single mather wakuu kuna watu wana miili ya kitoto.
Nachoogopa ni kuwa mara nyingi anaongelea kuhusu watoto mara kubeba mimba..
Yaani ananichanganya as if anataka mtoto na mimi..
Kingine kanipa onyo kali sana ambalo mpaka sasa nawaza sijui nikimbie tuu
....
Wenye uzoefu na single mother.. hawa watu wapoje maana nawaza kufikilia kuoa kabisa...
Vishu Mtata
Kabisa hao ni chapa ilale achana kabisa na hiyo mikosi ya single mother hata awe ni mwajiriwa ukijichanganya mbeleni utalia na unakuta na umri umeshakwendaAu mkuu nijipigie tuu alafu nisepe sio
dadaetu weka ujue ile ni story kalisiweki
kwa sababu hayajakukuta wewedadaetu weka ujue ile ni story kali
Uje utuambie tena unaenda kupima HIVDaaah mkuu sijaelewa hapa kabisa an 😁😁😁
pole, sio wote wanatafuta huruma wengi ni wapambanaji. tunapambana kwa ajili ya ndoto zetu na watoto wetu. single mother na anayetoa mimba yupi bora?Hakuna wakuwapiga mawe Ila lazima mjifunze, Unazalishwa huko unamdharau aliyekuzalisha alafu unatafuta wa kuwaonea huruma,
Single mother asilimia 99 ni wajeuri, viburi vimewajaa, madharau na umalaya unao sababishwa na tamaa za kijinga!
pole sana MUNGU akufanyie wepesi, sikumaanisha nafurahia uliyopitiakwa sababu hayajakukuta wewe
Weee kwani awezi kuwepo 2008 na ana watoto au ?We kiazi usinitag kwenye nyuzi za namna hii, mimi wangu ni tubinti twa kuanzia 2008, hao masingo maza nimekuachia wewe na Intelligent businessman
Mkuu nielekeze tafadhariutaelewa tu baadae
Karibu mkuuNyie maboya, hizi nyuzi ni za makenge maji wenzio
😁😁😁😁😁🙌🙌😄🙌🙌🙌🙌🙌mtupige mawe na watoto wetu mtuue.
Kupima hapana siwezi kabisa aiseeemkuu hio dilemna kubwa ila kwa kuwa umeconfess umezama mkwepe we muulize kwaio huniamini hadi tupime
Hapana mi sichukii ila kiukweli ni mkali jamni daaaahMkuu huyo mumewe naskia wamekaa zaidi ya miaka 7 ila walivoachana ni miezi 10 imefika .. kinachonifurahisha mwanaume ameoa pia hana mpango nae kabisa.
Kwamba unachukia mtu mwenye ujuzi wa kutosha miaka 7 kutoka kwa mumewe, upo vizuri.
Mkuu kama upo karbu na gomzi mi nakupasia bas hata namba mkuuAta saa mbovu kuna wakati inasoma muda sahihi 🤣🤣🤣
Ukimchoka single mama basi nipigie pande na mie nile mbususu
Huyo jamaa ajitambui 😄😄😄😄😄Wewe si unatafuta pisi ya kukulea?? Chukua pande hilo kwa Poor Brain
Onyo alilonipa ni siri ila ni ishu complex mkuuOnyo gani sasa kakupa? Hebu tiririka
YaniNaona jamii inazidi kumuona singo mama kama muhalifu na mkosaji mkuu hapa duniani aiseeee...🤔