Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #21
Mkuu kama wewe unafanyaje hapaNaona jamii inazidi kumuona singo mama kama muhalifu na mkosaji mkuu hapa duniani aiseeee...🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kama wewe unafanyaje hapaNaona jamii inazidi kumuona singo mama kama muhalifu na mkosaji mkuu hapa duniani aiseeee...🤔
Mkuu kwahiyo yeye ana force king kwangu aukama ushawahi kucheza draft najua utakuwa unaifahamu 'force king' ..na ndiyo unayoenda kukupata..
Thanks alot bloodHakuna general term kwenye mapenzi. Fanya kile moyo wako unataka.
Mkuu wee acha tuu mi huku nishazama kutoka siwezi sasaBraza mfikirie shemeji wakati unaruka na haya mashangingi.
Daah mkuu acha tuu..onyo gani mkuu?
Namnyonya kitovu na kiuno kisha namlamba kalio...😝Mkuu kama wewe unafanyaje hapa
Kwanini unasema hvo kuwa nimeamua kuwa mmarekaniNaona umeamua kuwa mmarekani. Anyway napita tu, maana sina experience na single moms.
😁😁😁😁😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌Nimecheka sana aiseeeee..Je, ulihudhuria msiba wa Baba mtoto na uliuona mwili wa Marehemu?
Au huyo mwanamke amekuonyesha kaburi la jamaa?
kisha Ukalifukua ukachukua sample ya mwili ukapima DNA yake na ya Mtoto ili kuhakikisha kwamba baba wa mtoto hapumui?
Au mkuu nijipigie tuu alafu nisepe sioKimbia achana na huo ujinga wa kupumbazwa na mapenzi ya mtego, single mama wana laana kutoka kwa Mungu ndiyo mana wana tabia zao za kufanana!
Acha mkuu ila ni very complicatedOnyo Gani mkuu?
Nafanyaje mkuuUunh!
Daaah acha tuu mkuu ni kupambana tuuPole sana, naona mwaka umeanza nao vibaya
anataka ndoa huyoDaah mkuu acha tuu..
Kwanza anataka tukapime
Mi mkubwa mkuuKama upo smart enough kichwani mwako, we pia KENDE tu, mengine yatajulikana mbele ya safari.
Una umri gani lakini?
Nimesoma comment nyingi ila hii mkuu.Mbususu zao tamu ila aio wakuoa...wee gegeda tuu
Mtoto yupo na baba mtu mkuuLea huyo mtoto na mama yake, sio kazi ngumu
Mmmmh why you scared meARV zitakuwa chache sana sbb ya USA kujitoa WHO
SijakupataCarry on, wewe ndyo utatupa uzoedu wako
Kalaga Bao 😎🕛😁😁😁😁😁😁😁😁🙌🙌🙌🙌Nimecheka sana aiseeeee..
Nyie watu jau kinoma daaah.
Inamaana unataka kusema ni lazima kwanza mumewe awe amekufa ndo niwe nae..
Mkuu huyo mumewe naskia wamekaa zaidi ya miaka 7 ila walivoachana ni miezi 10 imefika .. kinachonifurahisha mwanaume ameoa pia hana mpango nae kabisa.
Kingine pia huyo mdada hajafanya mambo ya ajabu toka kipindi hiko