Mapengo ni ulemavuJino hata ukiziba kama limelika ,utakuja kung'oa tu hakuna namna mkuu bora unge ng'oa
Zipo dawa za meno mzuri kwa ajili ya kutumia na meno hayaumi Luna siku jino liliuma Kuna dawa nilipewa imeandikwa kama kihindi au kiarabu (sikuizingatia niliizarau) ni nyekundu kuanzia tube yake mpaka dawa yenyewe na ina harufu ya karafuu ukitumia ipo vizuri sana.
Hiyo inaitwa dabur red.
Dawa yenyewe kama ina rangi nyekundu flani dawa kama pilipili,ndo dawa yangi saivi baada ya kuachana na sensodyne.
Yani umebambikia uzi mkuu[emoji2][emoji2][emoji2].
Mkuu wake zetu wahanga wa meno nao.
Meno yake yametoboka au ?
Kama ana mimba jitahidi amuone mganga wa meno. Kipindi cha uja uzito mtoto anachangia calcium na mama na inapelekea meno ya mama kukosa u imara. Anywe maziwa fresh na dagaa kupata calcium ya ziada.Meno karibia yote yanamuuma. Ang’oe meno yote?
Hilo tobo ndo shidaJino moja gengo ndo limetoboka katikati limeweka kama shimo, na mengine yanauma mno.
Bora toa bure kwanzaJamani wacheni kuhangaisha meno,
Niko na dawa ya kienyeji uhakika 98% isipofanya kazi pesa inarudishwa
Unaifuata ofisini kabisa.
Dawa ya jino lilotoboka eidha ang'oe ama azibe baasJino moja gengo ndo limetoboka katikati limeweka kama shimo, na mengine yanauma mno.
Kama ana mimba jitahidi amuone mganga wa meno. Kipindi cha uja uzito mtoto anachangia calcium na mama na inapelekea meno ya mama kukosa u imara. Anywe maziwa fresh na dagaa kupata calcium ya ziada.
Bora toa bure kwanza
Dawa ya jino lilotoboka eidha ang'oe ama azibe baas
Jamani wacheni kuhangaisha meno,
Niko na dawa ya kienyeji uhakika 98% isipofanya kazi pesa inarudishwa
Unaifuata ofisini kabisa.
Nitaongea na muhusika Ni Dr mmoja hivi akikubali ni sawa.Mkuu nisaidie for free then hela itafata.
Siyo zangu, ni kazi ya Dr mmoja hivi nimetumia nikiwa nategemea kung"oa jino la pili hivi Nikapona na sisikii chochote.Bora toa bure kwanza
Dawa ya jino lilotoboka eidha ang'oe ama azibe baas
Inatibu vipi meno yaliyotoboka?Siyo zangu,ni kazi ya Dr mmoja hivi nimetumia nikiwa nategemea kung"oa jino la pili hivi Nikapona na sisikii chochote,
Ndo maana nikarecomend,
Yeye binafsi ni biashara yake ameifanyia research na majaribio hawezi toa bure,
Ila siyo bei kubwa kulinganisha na matokeo.
Sifahamu formula mie.Inatibu vipi meno yaliyotoboka?
Karibu tukuhudumie 0774891006Kwamba tobo ndo kwisha habari?
Mkuu kuna ile pressure wakati koleo likiwa linasogezwa sogezwa ili jino lilegee liweze kuvutwa , japo hautasikia maumivu ila ile pressure pamoja na sauti ya mifupa ya fuvu iliyoshika jino iliwa inaachana na jino lenyewe ni adhabu tosha.Si unapigwa ganzi mzee.
Au wewe hukuoigwa ganzi ?