Nimeziba jino zaidi ya mwezi nyuma, sasa hivi nikitafuna kama lina ganzi, nikibonyeza juu ya shavu kuna maumivu kwa mbali nayasikia, nini tatizo?

Material waliyotumia siyo Rudi hospital wakubadilishie material
 
Tunaondoa maumivu ya jino milele.
Linalouma
Lilililotoboka halitauma tena
Linalouma usiku
Linalouma likiguswa na kitu moto
Linalouma likiguswa na kitu baridi

Usipopona tunarudisha pesa yako
Kupona ni siku 3 tuu.
Tupo dar ubungo
Kariakoo
Moshi
Lushoto
Mombo
Pia Tunatuma kote Tanzania 0719796574
 
Bei ya dawa ni hela ngap?
 
Pole Sana
Hilo walifanya RCT
MATIBABU YA mzizi wa jino
Na Hali kuwa obturated
Imepelekea kupata infections kupitia canal wazi
Tiba dawa waliyoziba itolewwe Na ufanye RCT UPYA
###0774891006

Sent from my MRD-LX1F using JamiiForums mobile app
Unachokisema ni sahihi mkuu.

Nilibadilisha hospitali nikaenda hospitali nyingine.

Wakanitoa ile riSasi wakaanza kuniziba upya jino na ilinichukua wiki kama tatu hivi mpaka kuziba.

Tokea mwaka wa 2021 mwanzoni mpaka hivi leo halijawahi kuuma wala kutoka ile risasi ya jino nililoziba.
 
NIlishawahi kuandika kwamba hiyo ni dabul red.

Ndio dawa nayotumia tokea mwaka 2020 mpaka leo sijawahi kusikia jino kuuma tokea hapo.

Japokuwa niliziba jino na sinaga matatizo ya meno ila hii dawa naiamini vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…