Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Sasa kwa nini haikushinda iende hiyo fainali?View attachment 2956107
Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.
Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.
Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali kwa mserereko. Inaniuma sana sababu nafasi hii ilikuwa ya Yanga.
Na kwa ninavyoziona timu zikizobaki, Ahly alivyocheza vibaya na Simba, Mazembe tuliyoipiga nje ndani mwaka jana, Yanga ingeweza kushinda hata kombe lenyewe hili na kutinga kombe la Dunia.
Atakuwa Bingwa wa mchongo.
Yanga ndio alikuwa anachukua ubingwa mwaka huu ila ndio hivyo tumeshadhulumiwa.Ahly atafanya jambo. Ahly ana mpira ambao sioni ni kwa namna gani mamelod atakuwa bingwa msimu huu. LABDA KSAKUWA MPIRA UNADUNDA
Al ahly nawakubali Sana Ila niamini Mimi hawataboi Kwa TP MazembeAhly atafanya jambo. Ahly ana mpira ambao sioni ni kwa namna gani mamelod atakuwa bingwa msimu huu. LABDA KSAKUWA MPIRA UNADUNDA
Hapana ubingwa bado ila Yanga ni timu inayokuja vizuri...Yanga ndio alikuwa anachukua ubingwa mwaka huu ila ndio hivyo tumeshadhulumiwa.
Mpira hauko hivyo!! Hata siku moja, mala ngapi huwa Michuano ikianza Ahly huonekana unga unga mwana lakini mwishoni anakuwa bingwa!!?View attachment 2956107
Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.
Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.
Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali kwa mserereko. Inaniuma sana sababu nafasi hii ilikuwa ya Yanga.
Na kwa ninavyoziona timu zikizobaki, Ahly alivyocheza vibaya na Simba, Mazembe tuliyoipiga nje ndani mwaka jana, Yanga ingeweza kushinda hata kombe lenyewe hili na kutinga kombe la Dunia.
Bado Mimi nampa nafasi Mamelodi sundown kubanwa na Yanga haipunguzi ubora wake Bali alikutana na timu ambayo ilikua na sprit kubwa pia Yanga wanacheza style moja na sundown hivo wanajua jinsi ya kuizuia...Atakuwa Bingwa wa mchongo.
Sema game ya Mazembe na National Al ahly haitakua ya kinyonge nadhani ndo itakua game Bora zaidi kwenye CAF msimu huu...Mpira hauko hivyo!! Hata siku moja, mala ngapi huwa Michuano ikianza Ahly huonekana unga unga mwana lakini mwishoni anakuwa bingwa!!?
Unasahau mapema Ahly alikufanya nini mechi mbili ,unafikiri mpira ni mathematics alivyocheza na simba atacheza na yanga.View attachment 2956107