Usiwaamini sana hao manesi wewe mpokee mkeo kwa upendo na bashasha zote kwa kukuletea binti mzuri halafu akishapona mtakapo anza kuchakachuana basi wewe hapo ndipo upime OIL kama ipo ana haipo ndipo utajua ni kweli ulio ambiwa na manesi ana walikosea wakakupa habari za mgonjwa mwengine!
Laiti angejua...........:A S angry::A S angry::A S angry:
yakinkuta ntaanza kuwakagua hao manesi kwanza kabla hawajanieleza upu upu wao...umesahau kama na miye ni DK....:israel::israel:
Wewe Utaanza kuwakagua manesi?? Mmmmhh haya bwana ndo ushauri wako huo?
Hommie kimaslai. Zaidi sio?'....
afu Dena.....
:doh:Umenikumbusha tabia ya wapemba!!!Kama nimpemba au asili ya kiarabu usishangae kwani nilazima akutwe na bikra hivyo hakukosea ni mila nadesturi yao wewe endeleza shamba pale ulipolikuta lasivyo aliyelianzisha ataendelea kulilima kama wewe hutaki kulipalilia!!jifunze kutokana na makosa!!:smile-big:
nina wasiwasi na hii topic
Ntawakagua sana tu ili nijue wanapata wapi authority hiyo ya kutoa siri za 'wagonjwa' kwa asiyehusika..ina maana mambo yamekuwa so liberal, hivyo ntaomba kuwakagua kwanza kama 'wapo salama'....
afu Dena.....
Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.
Je nimfanye nini huyu mama watoto wangu?
Hommie kimaslai. Zaidi sio?
Nimefanyanini. Cha msingi hapo uliposema kuwa hawana ruhusa ya kutoa siri ya mgonjwa kuwakagua nooooo!!!!
Pamoja na kuwa upo VIA MOBILE ambayo inaonyesha upo GHEST kama kawaida, nimekugongea senks kwa kulitambua hilo mapemaaaaaaaaaaaaaaaa
Pamoja na kuwa upo VIA MOBILE ambayo inaonyesha upo GHEST kama kawaida, nimekugongea senks kwa kulitambua hilo mapemaaaaaaaaaaaaaaaa
icho icho kidogo ulichofanya, kinatosha sana....mwaka huu "wakiniona nnabebwa si watauomba upofu"?:tape:
nambie kwa nn unakataa kwamba hawaruhusiwe kutoa siri za mgonjwa
Sijakataa nimesema hilo ndo la msingi kuwa hawaruhusiwi kutoa siri za mgonjwa au nimeandika kikwetu Mkuu
Mmmmhh nini tena kinaendelea hapa?