Nimezunguka Gongolamboto sokoni hakuna sukari, hivi hii nchi ina uongozi?

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Daaaaahh

Issue ndogo ya sukari ilipaswa kutatuliwa na kiongozi wa ngazi ya katibu mkuu wa wizara au Mkurugenzi wa bodi ya sukari basi.

Lakini serikali yote iliingiza miguu yote na kuambulia kusombwa na maji. Sasa sukari hakuna kabisa.

Watanzania msitegemee maendeleo kwa akili hizi za hawa viongozi wenu.

Kiongozi mkuu wa usimamizi wa sera za nchi Waziri mkuu alisema mpaka Ramadhani sukari itakuwa ya kutosha. Vichekesho kweli.

Sasa Ramadhani na sukari vina uhusiano gani?
 
Watanzania msitegemee maendeleo kwa akili hizi za hawa viongozi wenu.
Sema wakazi wa Gongolamboto na sio watanzania.

Hivi kwa nini unakaa Gongolamboto hadi ukose sukari ilhali kuna maeneo yaliyochangamka huku Goba sukari tele?
 
Maadamu ndege ina mafuta ya mama wa kizimkazi kuzunguka dunia nzima hayo mambo ya sukari tutajua wenyewe

Waafrika alietuloga kweli ni mchawi hasa
 
Sukari imeenda wapi? Kiongozi upo wewe Mkuu wa kaya peleka sukari nyumbani 😆😆
 
Bodhaa za mwendo wa kuruka karne hii kwa kweli?
Afrika lini wataamka
Nchi inakosa sukari? What a joke
 
Nchi za nje ya Afrika kiongozi anachaguliwa kwa kuwahakikishia usalama wananchi, ushirikiano ama kutoshirikiana na nchi zingine. Kuwaonyesha approach yao ya uchumi itavyokua.

Afrika ni sukari, umeme, barabara, maji
 
Ndio maana wazungu waliachana na miwa kutoka utumwani huko walikowapeleka maana imekuwa mbali na gharama pia
Kuna alievumbua mmea mmoja ambao ndio wanalima sasa hapa kwao na kutengeneza sukari
Sijui kwanini na sisi hatulimi sugar beats
 
Ndiyo wakati wa nyie kuachana na matumizi ya sukari,isiwe lazimaaa
Ona watu wanavyohaha kama mateja,
Huu uraibu sasa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…