Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
- #21
Sasa hata hiyo ya 5k haipo hukuIpo tele huku, mambo ya bei elekezi hatuyajui huku sisi tunanunua 5k per kg hatuna malalamiko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hata hiyo ya 5k haipo hukuIpo tele huku, mambo ya bei elekezi hatuyajui huku sisi tunanunua 5k per kg hatuna malalamiko.
Kwa sababu raia wengi ni mazuzu,mateja mazombie misukuleBodhaa za mwendo wa kuruka karne hii kwa kweli?
Afrika lini wataamka
Nchi inakosa sukari? What a joke
Hiyo ndiyo dawa yaoNdio maana wazungu waliachana na miwa kutoka kwa utumwani huko walikowapeleka maana imekuwa mbali na gharama pia
Kuna alievumbua mmea mmoja ambao ndio wanalima sasa hapa kwao na kutengeneza sukari
Sijui kwanini na sisi hatulimi sugar beats View attachment 2906592
Yaani ni zao zuri sana na haihitaji maji mengi kama miwaHiyo ndiyo dawa yao
Na wanaawachia miwa yao
Wadode nayo
Wapige nayo picha tu
Ova
😂
Hapo Gongo la Mboto hakuna mtu anauza miwa? Huwezi kutafuna muwa huku unakunywa maji ya moto? Muwa mmoja mzima mrefu haufiki hata elfu mbili.
Kuwa na shukrani!
Hayo unayoongea ni kweli kabisa mkuu, anaweza kutokea mtetezi na wa kuongea kumbe na yeye ana malengo yakeKwa sababu raia wengi ni mazuzu,mateja mazombie misukule
Sukarini bidhaa ya kawaida kabisa
Lakini tanzania sukari inafanywa kama dili sanaaaaa na wakubwa wao
Ndiyo wametengeneza mazingira hayo
Ova