Nimfanyaje huyu binti..


Kama huna mpango nae, si ubadili tu ratiba ya kwenda chachi na seat ya kukaa??
 
Watakaoitwa ni wengi,ila wateule ni wachache.we naona kanisani waenda kupoteza muda tu.
 
............................................................................................................
 
Hivi jamani mlitaka akatafute mpenzi bar? Mapenzi huanza popote pale as long you are both committed and sincere na sio kuchezeana tu. Kuwa jasiri na mweleze unavyojisikia.
 

kijana huyo mtoto kakupenda tu
 
Mkali wa kitaa, achana na hayo mambo ya kufikiria mahusiano ya kimapenzi, most of the time try tofocus on some other things meeen, jsut make her yo comrade.
 
Wadau, nimfanyaje huyu binti, tunasali kanisa moja, ila anapenda sana kuja kukaa pale ninapo kaa mimi kila mara wakati wa misa, atategea kuona nakaa wapi atakuja kukaa hapo hapo, na mara nyingi hupenda kushare na mimi vitabu vyake vya nyimbo na neno.

Hivi ni viashiria gani..anataka nimtongoze ama anjisikia vizuri tu kukaa na mimi..jumapili iliyopita nilifikiri atachelewa lakini kaja muda uleule, na kanifuata moja kwa moja kukaa na mimi..ni mzuri tu..ila najiuliza mara mbili mbili kama ni sahihi kutupa ndoano nisije jutia bure..msaada tutani.


anapenda unavyosali vizuri, alelluya
 
Mkuu mie nakushauri nenda misa ya pili kama umezoea kwenda ya kwanza au vice vesa, hapo utakuwa umesolve tatizo if at all hayupo akilini.

Unadhani this simple calculation hajui......? Ni basi tu kuwa kajamaa nako kanapendelea hii hali........kajamaa kana ubongo sinful!
 
Ila hamna ishu ya kushangaza kama mshkaji yupoo soreus afnye mambo tuu kwaajili ndoa nyingi mkitokeana labda iwe siri ukipandamo kanisa likistukia unatengwa ila mkikamilisha mipango mnarudishwa kundini kiaina so angalia kama haupo soreus mzeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…