Nimfanyaje huyu dada? Yamenikuta leo asbh

Ndo kinachonishangaza anaomba ushauri wa nini? au ndo keshamzimikia anajua ndo kashamkosa hivyo!
 
Jamani, huko jirani zako hakuna wanaume?
wewe unaona huruma kwa wanawake tu?

You will reap what you have sown!

Soma signature yangu!
 
Ndg naombeni ushauri maana najua kesho tena naweza kumkuta eneo lile lile na sijui nichukue uamuzi gani wa busara, msaada pliz!


binafsi nimekuelewa mkuu.pengine hujawahi kumpenda huyu dada ila alijiaminisha kuwa hueda one day YES.....kwa kifupi achana nae na usimpe lift tena ....wakati anafunga mlango na kusonya ndo alikuwa anajimaliza........kaa nae mbali...hakuongezi humuongezi.....wema usizidi uwezo mkuu......
 
hapa umenena mkuu....!!
 
na wewe ulimchelewesha siku ya kwanza lift na kuomba mzigo,hata kama leo kasusa umeshalamba!hakuna kuleta egoli
 
Keshamsonya jirani yako.... Keshazira... Bado unawaza ukimkuta kesho utafanyaje??? Are you into her???? If not ukimkuta kesho timua vumbi; kwanza hana manners, na wala hasatili kupewa nafasi kuwa girlfriend hata kama upo upo. Binti gani anasonya strangers?? What if alomsonya ni dadako???

Hao ndio wanawake wakiolewa wanawatia ngumi wakwe zao. Mungu amekuonyesha her true color; kama ulikuwa umeanza ku fall zinduka; hakufai.

Ndg naombeni ushauri maana najua kesho tena naweza kumkuta eneo lile lile na sijui nichukue uamuzi gani wa busara, msaada pliz!
 
achana naye hakuna tena kumpa lift mpumbavu huyo! HANA ADABU!
 
hii ni noama mno kaka angalia wasije pasua vioooo maana
 
Umesema wewe ndiye ulimuonea huruma na kuamua kuwa unampatia lift wala yeye hakuwahi kukuomba. Sasa haitaji tena lift wewe ya nini kuumiza kichwa!
 
Dawa ya bishoo kuwa bishoo zaidi yake, mfungie vioo, piga na tinted kabisa!



Il Gambino.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…