Official Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 560
- 110
Kwa kuwa nia yako ilikuwa ni kumsaidia tu na tayari amekataa msaada wako, we mpotezee. Kwani ukiamua kumsaidia ombaomba kwa kumpa pesa afu akaikataa, utahuzunika au utajiondokea na kumsahau?