Nimfanyaje huyu dada? Yamenikuta leo asbh

mkuu usikute kuna mahali umetuficha!..manake haiingii akilini afyonze wkt mtu ata akujui..mmh?
 
Haya sasa ni mazito jamani! Mwanamke hana haya huyo! Duh. Potezea mbali.
 
Kwani kukataa kupanda gari lako kakupunguzia nini zaidi ya usumbufu? Lakini kaka inaonyesha kuna utani fulani fulani ambao umeshawahi kuufanya mwenzako akajua ni serious.

Take care
 
mkuu ina maana baada ya salamu, hakukuwa na maongezi mengine ndani ya gari na huyo binti wa njiani ?
Its so strange afyonye bila ya sababu.

Mkuu huyo mdada ana matatizo tu kichwani.Kwa sababu hata kama huwa wanamaongezi mengine ya kimahusiano bado hakutakiwa kuji behave vile kwani hakujua yule aliyemkuta ndani ya gari ni nani na kwa nini yuko pale.
 
dah............ hii tamu

kumbe lifti dili sana eh?
 
ooh! kumbe unaishi nnje ya mji!!!

dah! Michango yako huwa ovyo sana utadhani akili yako imekurupushwa jifunze ustaarabu basi sasa ulichoandika hapa kinamsaidia nini aliyeomba msaada.
 
Achananae huyo,sisi tunawaita ngedere magari mademu wa dizaini hiyo,yaani yeye akimuona mtu ana gari tu,bila kujua ni dereva au la kwake anataka kumletea mahaba,tena sasa hivi hata kama hautumii AC,ukimuona kwa mbali mfungie vioo,alafu huwezi kujua unaweza kuta huwa anajibanza sehemu akikuona unatokeza tuu ndio nae anajitia barabarani!!!ngedere magari
 

Mkuu hapo umemaliza,kama akiendelea kutafuta majibu mengine atakuwa alitangaza nia.
 
Wanachangia mafuta au?bac kama ni bure kuna namna alikuwa anakulipa pesa zako za mafuta ndo mana alipomkuta dada mpya wa lift alimynd kinoma kwa7bu yeye analipaga kidizain.uongo man wang sema 2 ukwel 2kushaur
 

Aiseeee kumbe wanawake ni mapapa! Wanafaa kwa mchuzi eti eenh?
 
Ushauri wa bure. Achana naye atakuletea balaa kama angekuwa mkeo je? Kwa nini akasirike naye ulikuwa unamsaidia tu unless katika mazungumzo yenu katika siku mbili tatu ulizompa msaada wa usafiri ulitamka kitu ambacho kilijenga matumaini kwake!!

Nimeipenda hii advise.. Hebu m-PM mshikaj kwa msisitizo
 

umenena pia
 

Kwa hayo mkuu nadhan kakuelewa na cc wengine tumeuchukua... Mkuu don umesomea guidence and counselling nn?
 
Yaani hapo hakuna hata lakujiuliza kama amepotezea hiyo wala hamna kesi ingawa kwa tabia aliyoonyesha atakiwi kupewa lift tena, wewe endelea kumpa lift jirani hata wezi wakija nyumbani atapiga kelele.
Labda huyo msichana anabifu na jirani
 
Mkuu naamini majibu yote unayo................... wanasema akili mukichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…