Ukiskija ujinga na ubwege ndio huo ulkioufanya! sasa angalia eti unasingizia pombe na angekubali uka-mduu ungesingizia nini. wewe sema ulikuwa tayari uko na matamanio yako juu ya huyo binti. sasa best out of all girls mtaani wewe unajitosa kwa Hg. huko ni kumdhalilisha mkeo mtu wangu. sasa ona anakudharau wewe na hata mkeo nae anadharaulika kwa kitendo ulichotaka kukifanya..... shamefull behaviour. Piga kote ila usijaribu kudu na Hg wako utaharibu familia yako pasipo na sababu za msingi. sasa cha muhimu ongeza mapenzi kwa mkeo na wala usihangaike na huyo binti wa kazi. kwanza wewe hutakiwi kabisa kuwa karibu na house girl. usifuate ushauri wa hao wazinzi wenzako (nisamehe kwa kutumia lugha kali)