Nimfanyaje huyu house girl wangu

Nimfanyaje huyu house girl wangu

Kwa kumsaidia tu huyu ndg yangu, yote alijitakia mwenyewe. Dharau za hgirl wake asijali sana. Yeye kama mwajiri wake anapashwa kumpangia kazi kama kawaida na kamahafuati anachoambiwa una haki ya kumkaripia. Na tena ni vizuri alivyoacha mazoeya na wewe maana ukikuchekea chekea tena na kwa jinsi ulivyo, unaweza ukamuomba tena. Pole ndugu yangu. Hgirls ni kama mwanao. Ebu ona sasa unavyokosa amani.
 
tatizo lako ushazoea kubaka inaelekea angekuwa mkeo yupo hme ile kufika bed tu ungemparamia huo pia ni ubakaji kama ulikuwa hujui,yani hata aibu huoni unaomba penzi kisa mkeo hajupo for some few daiz akisafiri si utamuomba mpaka mwanao wa kike?ol in ol mwisho wa ubaya ni aibu
ulevi nooooooooooooooooooomaa.
 
Kaka kweli huna maadili wala huruma.Yaani umetaka kumbaka na bado unataka kufukuza kazi? jiangalie ww.Kaa wewe,housegirl na mkeo ,ueleze ukweli na uombe msamaha.
 
Back
Top Bottom