Coza Mhando
Senior Member
- Dec 14, 2010
- 194
- 7
Uporoto nimependa ushauri wako, amwite na amwombe msamaha kwa yaliyotokea na asikubali huyo msichana amblackmail, awe na msimamo kama baba mwenye nyumba, sababu akiendelea kununa mama atagundua tuSwali sahihi hapa ni hausigeli akufanye nini baada ya 'jaribio la kumbaka'.Ulitaka kumbaka halafu unauliza umfanye nini ? hebu kuwa na utu muombe msamaha na muahidi hutarudia tena,kufanya kazi kwako hakumpunguzii utu wake na kosa lako halifutiki eti kwakuwa umemuajiri. JISHUSHE,KUWA MPOLE WE 'MBAKAJI'.
Nawashangaa wengi waliotangulia wanakuwa upande wa uonevu si haki kabisa,imefikia hatua ya h/g kumdharau/kutotii amri halali kwa uzembe wake wa kutotatua soo hili usiku uleule au asubuhi yake.Mazahausi lazima kahisi kitu au anakula taimingi muda huu.Uporoto nimependa ushauri wako, amwite na amwombe msamaha kwa yaliyotokea na asikubali huyo msichana amblackmail, awe na msimamo kama baba mwenye nyumba, sababu akiendelea kununa mama atagundua tu
Mhhh msarendo, kama huyo ni dada yako utapenda afukuzwe kazi kwa utovu wa nidhamu wa baba mwenye nyumba?Fanya any means umtimue! La sivyo atakuletea matatizo.
Nimeomba ushauri kwa baadhi ya marafiki wengine wananiambia nikitaka niwe salama eti nihakikishe natembea nae na wengine wananiambia nimshawishi mama tumfukuze kazi.
<br />yaan we bonge la popompo,unataka kupingana na usem huu "in alcohol there is a wisdom"?.<br />
Sasa fanya hivi ili upate msamaha kutoka kwa muumba wako, <br />
mwite mkeo pamoja na Hg wako pamoja, huku umepiga magoti mueleze mkeo kila kitu,muombe msamaha kwa kosa ulilofanya. Nadhan atakuelewa flesh tu,<br />
then endelea kupiga kilaji.
ULiza dudu yako isiyo na haya,
dada mbona unanisimanga? Ilikuwa ni ulevi tu