Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
- Thread starter

- #121
Heshima? Una maana gani? Mbona yeye hakujiheshimu wala hakumheshimu?Usimwonee aibu, wala usimwogope na wala hata usimfukuze kaz. YES!! The only thing to do ni kumtreat kama hosegal, over. Kma unamtuma kaz hafanyi, anaonyesha dharau mkalipie. Anapaswa kujua who are u 2her. Wewe ni mwajir wake anapaswa kukuheshm no matte what. Nivigum sana kumwambia mkeo ulichomfanyia kwa kuwa eti unamtreat kwa kutokukuheshm. Najua ulichofanya ni matatz yetu wanaume, bt be care. USIRUDIE TENA. Hii k2 ni rahc sana kumvunjia mtu heshma ktk jamii. Be care.

Mbona tunanyoosha vidole vingi kwa jamaa wakati ameshajitambua , toeni ushauri bana

kama kusalitiwa mbona wengi tu humu mmeshasalitiwa na mkasamehe

OKOENI NDOA HIYO, WATOTO NDO WAHANGA WA KWANZA na wala sio huyu jamaa
MR, kweli huyu ndugu ni wazi hili alikuwa amelidhamiria siku nyingi ila alishindwa jinsi ya kulianzisha akayatwika ili ionekane si yeye bali ni kile kinywaji alichokunywa kwa kuzidisha...Msisingizie pombe ni umalaya wenu ebooo mbona wengine tunakunywa na hatufanyi upuuzi kama huuu
<]PHP:br /> <br / Mnatafuta dhahma halafu mnasingizia watoto watateseka alipokuwa anammendea huyo bint hakujua ana watoto? Na bint angemkubalia angejuta baada ya pombe kuisha au angeshangilia ushindi akaja kujisifu alivyo mjanja? Ameshalikoroga alinywe tu kwa kumuomba radhi bint na wala si kumfukuza kazi maana mkosaji atakuwa anamhukumu victim wa makosa yake which is not fair.[/QUOTE
Du !!! ennie , si tumefundishwa tusamehe 7 mara 70 jamani !
Asanteni sana kwa maoni yenu ila kumwambia mama ukweli naona ni ngumu sana, nahisi nitazua mengine zaidi. Infact leo nimejifanya kumweleza kwamba nimesoma kwenye JF kuwa kuna mtu amepost thread hii. Aisee alikuwa mkali kweli so I dont know her reaction kama nikimwambia ni mimi.

Wandugu kwema?

Jamani mimi ni mdau wa humu siku nyingi sana ila nimekutwa na makubwa mwenzenu.

Siku tatu zilizopita mke wangu alikuwa amelala hospitali akimuuguza ndugu yake. Baada ya mimi kuwa huru basi nakaamua kutandika maji ile kisawasawa. Nilirudi majira ya saa tisa usiku nikiwa niko bati. Nilivyofika nyumbani dada akanifungulia mlango. Akili yangu ikanituma nimuombe dada penzi. Yule dada akawa mkali sana, nikajaribu kumlazimisha kwa kumshika akaning'ata mkono na kukimbilia chumbani kwake.

Basi nikaogopa watoto wasije wakaamka kwani walikuwa wamelala na bibi yao yaani mama yangu. Huyu dada sasa hivi namwona aibu na ninaogopa asije akamwambia wife. Shida ninayoipata nikamsalimia haitiki, nikimtuma kitu hafanyi kwa kweli ananidharau sana. Pia inabidi niwe karibu na wife mda wote kwani naogopa asije akamwambia.

Nimeomba ushauri kwa baadhi ya marafiki wengine wananiambia nikitaka niwe salama eti nihakikishe natembea nae na wengine wananiambia nimshawishi mama twumfukuze kazi.
Tafuta nafasi uongee na huyo housegirl. Jishushe na umwombe msahamaha kwa yaliyotokea. Nina imani atakusamehe! Halafu siku nyingine usitumia nafasi yako/cheo chako kutaka kulamba mabinti za watu. Fuata procedures zote za kutongoza!
Mh naona kama ni ngumu sana nayo