Mbona mimi nilifiwa na aliyenizaa kabisa na wala siku-panic!
Kweli bwana,mimi mwenyewe sometime huwa navurunda,nabakia kuregreat tu!wanawake hata wao hawajielewi
tena wakikatazwa ndo hutaka kufanya
hasa wanapokuwa na uhakika wa Love and protection.
Wala usimgombeze
ana machungu ya kufiwa na mimba
ni fundisho kwa leo na siku zijazo.
pole naona bado una hasira naye....its okey it will go....its just a phase unayopitia just like anybody ambaye amepata loss anavyopitia....guilty,angry then acceptance.am sure your wife amefanya hivyo out of good will, she thought was strong enough kumzika kaka yake. na yeye ameumia kupoteza mtoto hivyo anakuhitaji kama faraja plz the earlier you accept this loss the better.
Kupoteza ujauzito ni Pigo tosha kabisa,adhabu ya nini tena?Lakini lazima nimuonyeshe kwamba amenikosea, na hivyo lazima apate adhabu japo kidogo!
Kupoteza ujauzito ni Pigo tosha kabisa,adhabu ya nini tena?
Lakini lazima nimuonyeshe kwamba amenikosea, na hivyo lazima apate adhabu japo kidogo!
Kweli bwana,mimi mwenyewe sometime huwa navurunda,nabakia kuregreat tu!
Naomba nikupe pole sana, lakini cha msingi msamehe maana unajua tena sie wanawake ni viumbe dhaifu sana. Tuko tofauti pia katika kufanya maamuzi.
Nafikiria arudi kwao akapumzike kwanza, ili ashike adabu!
WE ACHA MASIHARA KWANI MTOTO ALIYEKUA AZALIWE ALIKU WAKO MWENYEWE? UKISHAMRUDISHA KWAO ITASAIDIA NINI MIMBA ITARUDI TUMBONI KWAKE? acha mambo ya ajabu mkanye kwa njia yyt lkn si kumfukuzaNafikiria arudi kwao akapumzike kwanza, ili ashike adabu!
Halafu wewe itakusaidia nini?
Kumuonesha kwamba yeye ni insignificant
akileta mchezo unaweza kumuacha anytime?
Kama unamwacha mwache kabisa
vitisho vya kitoto vya nakununulia pipi/sikununulii pipi havina msingi saa hii
hasa kwenye issue sensitive kama hii
act as a man na sio 'show off ya mwanamme'