Nimfanye nini huyu Mwanamke?

Nimfanye nini huyu Mwanamke?

Duh,kuna siku nimetajwa sikutokea?? basi nisamehe sikuona dearest, mwaka ukiisha bado tutakuwa pamoja tu...lol...nina pa kwenda basi??
Enheee.
Si huko ulikojichimbia mwaka huu.Sijui hata wanakupa nini ambacho sisi tumeshindwa. . . . lolzzz. . tuambie tujitahidi!!
 
Wewe si mkeo, uwezo wako wa kuhimili matatizo kama msiba hauko sawa na wake,so usilazimishe maamuzi yenu yafanane. Hakuna haja ya hasira wala ubishi mwingi,mimba imeshatoka,angalia mbele na msaidie mkeo,halijamfurahisha hilo na kama ni kuumia yeye kaumia zaidi aliyeibeba....huh!

wow wow wow.. luk who is back! dayuuumn i missed u badly... where the hell have u been hiding?

Happy new year to ya! nice seeing you back
 
Mbona mimi nilifiwa na aliyenizaa kabisa na wala siku-panic!

unampenda mkeo? huoni kuwa yupo kwenye wakat mgumu yan wewe unapata hasira kwa kupotelewa na mtoto sasa kumbuka mtoto huyohuyo pia ni wake so nayeye anaumia coz anajiona kasababisha mtoto asiishi, imagine mkeo ni mjamzito amekuuz ukampga akapata miscariage je utajiskiaje? sasa utakavyofeel ndio anavyojiskia mkeo plus uchungu wa msiba, msamehe she needs you now more than ever
 
pole kakaangu msamehe mkeo,kumzika kakaake ilikuwa ni lazima ukizingatia ndo alomlea na kumsomesha,
 
huyu dada dawa yake ni kumpeleka akajiunge na wenzake wakina babu sei gerezani
nikiripoti habari hii mi ni said mwema wa dochi vele habari za kitelejensia
 
Msamehe maana mkeo ali intend kufanya jambo jema ndivyo alivyofikili ndo maana akaamua kwenda msibani.Jaribu kujiuliza swali hili "JE WEWE UNAMUONEA HURUMA KUZIDI AJIONEVYO YEYE MWENYEWE? Hapo ndo utajua alifanya kutokana shinikizo lililosababishwa na Relationship kati yake na marehemu na pia lazima alijiuliza jamii itamchukuliaje?
 
Mbona mimi nilifiwa na aliyenizaa kabisa na wala siku-panic!

Wanawake na sisi ni tofauti sana haswa kwenye kupanic "Dada yangu kahama nyumba kisa kwake kuna panya kamuona jikoni mwa nyumba yake"kwa kuzingatia mfano halis huo utagundua kwenye maswala ya kupanic hatufanani nao kabisa hivyo nakushauri "HUU NDO MUDA WA KUONESHA UNAMPENDA MKEO KWA KUWA NAE KARIBU NA KUMKONFOT ili udhihilishe we ni mbabe kwenye maswala ya kupanic sio kumlazimisha afanane na wewe kwenye kuhimili matatizo kama hayo.
 
Lakini lazima nimuonyeshe kwamba amenikosea, na hivyo lazima apate adhabu japo kidogo!

Jiulize Na wewe ukikoseaga huwa anakuadhibu?Tuache ma mfumo dume maisha ya ndoa sio mashindano ya kukaa na kubuni ADHABU pale tu mwenzi wako atakapokosea tena bila kujali hilo kosa limedhuru namna gani mkeo.
 
Enheee.
Si huko ulikojichimbia mwaka huu.Sijui hata wanakupa nini ambacho sisi tumeshindwa. . . . lolzzz. . tuambie tujitahidi!!

hakuna hata wanachonipa ndo maana nimejirudia hapa mdogo mdogo manake nachokipata hapa sikipati kwingine...lol
 
wow wow wow.. luk who is back! dayuuumn i missed u badly... where the hell have u been hiding?

Happy new year to ya! nice seeing you back

I missed you more, i was in Sirte just got back...lol

Happy New Year to you 2 and God Bless You, it feels good to be back here with you!!
 
Msamehe tuu mkuu...unajua uchungu wa kumpoteza kaka tena aliemlea ni mkubwa hakuweza kuikumbuka hali ya kiafya ina complecations. hata yeye mwenyewe atakuwa anajutia sana kuto kusikia ushauri wako ila hatakuambia alijisikiaje baada ya kutokea tatizo lilimpata njian akiwa msibani. anajutia nafsi yake kwa kutokuwa msikivu na mvumilivu. UCHUNGU wa kumpoteza kaka ulimponza japo haikuwa kosa kwenda kumzika kaka ila angezingatia pia ushauri wa daktari.
 
Back
Top Bottom