mmmh kaka roho yangu ngumu mno haielewi upesi wala haisikii dawa kama sikio la kufa.Nimefiwa na mama, when I was young, na nilifiwa na baba ambaye nilimuuguza mwenyewe na akarudi nyumbani akiwa amepona lakini akazidiwa ghafla na kufariki, but I didin't panic, nilijipanga na kwenda nyumbani kuzika. so what is abig dill kufiwa na kaka! All of us we will die one day, none of us wil live forever!
Unajua swala la yeye kushika ujauzito lilitusumbua sana na lilitugharimu pia, inashangaza anachukua maamuzi ambayo sio kwamba yalikuwa yanahatarisha maisha ya hicho kiumbe, bali pia hata maisha yake! hivi alikuwa anatumia akili au matope?
Nature ya kazi yangu huwa nasafiri kikazi mara kwa mara, na kutokana na hali hiyo nimemuwekea wasichana wa kazi wawili, yote hiyo ni kutaka kuhakikisha anakuwa akihudumiwa wakati wote. Naamini nimekujibu FFKabla sijachangia ni nini umfanye nna ka swali kadogo; Jee, ilikuwaje wewe unasafiri na kumuacha wakati amepewa bed rest na madaktari?
mmmh kaka roho yangu ngumu mno haielewi upesi wala haisikii dawa kama sikio la kufa.
kwa majibu unayotoa kwa ushauri unaopokea unaonesha ni mtu wa hasira sana hata kabla ya tukio la kutoka mimba unaonekana unahasira tu wakati wote
kufiwa na mtu wa karibu sio issue issue inakuja mlikuwa na ukaribu kiasi gani kama ulimuuguza baba yako hadi kufa ila hamkuwa marafiki na hamkuwa karibu haiwezi kukuuma ila kama ni kaka yako na amesababisha uheshimike mjini akiondoka duniani unatambua umuhimu wake kama nakuona vile ulivomnunia mkeo badala ya kumbembeleza kwa kutoka kwa mimba na kufiwa na kaka yake MWANAMKE KUBEMBELEZWA OHOOOO AKIPATA WA KUMBEMBELEZA UTAPIGANA SHAURIYOOOO KAA CHONJO BABA
@Sakapal, kwa taarifa yako nimemdekeza sana mke wangu huwezi amini, na ninadhani ame-take advantage, sasa inabidi niwe dikteta japo kidogo, ili ujinga umtoke.
nimezipokea taarifa hizi kwa uchungu sana. Sasa najiuliza nikirejea nimfanye nini huyu mwanamke?
Sidhani kama huyo mkeo alikuwa na nia ya mimba yake kutoka, hivyo sitarajii utamhukumu kwa mimba kutoka.
Pili huyo kaka yake ndiye alikuwa kama mzazi wake kwasababu kiafrika mtu anayekutengenezea maisha ndiye anakuwa anaplay role kubwa sana kwenye maisha yako. Na kutokana na wanawake kuwa too emotional ilikuwa ni vigumu sana kwa yeye kutokwenda hasa alipokuwa akiwaza ni namna gani jamii ya kwao ingemchukulia (Ukikumbuka huko vijijini hakuna habari za bed rest, wanawake wanapiga mzigo hata wakiwa wanajifungua kesho) kutokwenda kwake kwa kuwa ana mimba ya miezi miwili kingekuwa kitendo kisichosameheka kwao.
Put yourself in her shoes and utaona namna gani ilivyokuwa ngumu kwake kuamua hilo aliloamua. Now she needs you more than any time, she needs you karibu naye kumliwaza na kumtia moyo.
Yangu ni hayo tu
Nikamwambia aende lakini sitahusika na lolote litakalotokea akipata matatizo.
Ni kweli aliamua kwenda lakini akiwa njiani alipata matatizo na ikabidi akimbizwe hospitai ya karibu na ule ujauzito ukatoka.
@Sakapal, kwa taarifa yako nimemdekeza sana mke wangu huwezi amini, na ninadhani ame-take advantage, sasa inabidi niwe dikteta japo kidogo, ili ujinga umtoke.
Nimekuelewa mkuu, nahitaji muda zaidi kujirudi, nimefadhaishwa sana na tukio hilo.
Shukran kaka, najua ni namna gani umehangaika kutafuta huyo mtoto ila huwa tunaambiwa wanaume tuna uwezo wa kuhandle nyakati ngumu then huu ndio wakati wa kuprove hilo. Amini kama migogoro kwenye ndoa yenu itaanzishwa na tukio hili the distance between you will grow bigger and bigger.Nimekuelewa mkuu, nahitaji muda zaidi kujirudi, nimefadhaishwa sana na tukio hilo.
alikuwa anatumia akili au matope?
alikuwa anatumia akili au matope?