Enheee.Duh,kuna siku nimetajwa sikutokea?? basi nisamehe sikuona dearest, mwaka ukiisha bado tutakuwa pamoja tu...lol...nina pa kwenda basi??
Wewe si mkeo, uwezo wako wa kuhimili matatizo kama msiba hauko sawa na wake,so usilazimishe maamuzi yenu yafanane. Hakuna haja ya hasira wala ubishi mwingi,mimba imeshatoka,angalia mbele na msaidie mkeo,halijamfurahisha hilo na kama ni kuumia yeye kaumia zaidi aliyeibeba....huh!
Mbona mimi nilifiwa na aliyenizaa kabisa na wala siku-panic!
Mbona mimi nilifiwa na aliyenizaa kabisa na wala siku-panic!
Lakini lazima nimuonyeshe kwamba amenikosea, na hivyo lazima apate adhabu japo kidogo!
Enheee.
Si huko ulikojichimbia mwaka huu.Sijui hata wanakupa nini ambacho sisi tumeshindwa. . . . lolzzz. . tuambie tujitahidi!!
wow wow wow.. luk who is back! dayuuumn i missed u badly... where the hell have u been hiding?
Happy new year to ya! nice seeing you back