Nimfanye nn shemeji yangu huyu?


Mpige denda naye pia!
 

Saa nyingine una akili wewe ndo maana nakupenda
 

Kuna saa huwa nkuzimikia sana kwa huo ushauri! Mwanaume ukiona mnakaa pembeni mnaongea! Sasa huyu dada yake akiachika atmlaumu nani maana kelele zikizidi sana maamuzi yanaweza yakawa ya ghafla. Hata mtoto wa kiume akimwona babaye huwa anamezea kiana ingawa hawezi kumwambia dingi ACHA hizo mzee!
 

there is nothing you can do zaidi ya kumvuta chamber siku moja na kumwambia hivi vitu vipo tu, halafu mtoto wa kiume kama yeye huo ni umbea ambao unaweza kumdhuru hata huyo dada yake

ila mkuu ukishakubali kuoa stick with what u have!! hizo nyumba ndogo achana nazo man hamna kipya huko nje unakoenda
 

Yaani umeoa dada ake na huyo shemeji nae anakaa kwako unamlisha, analala anaamuka anakula ugali wako.

Basi na yeye umuoe kwa nini anakuwa na wivu?

Kama vp mtimue hapo si kwako, mfulumishe na umwambie kabisa mkeo kuwa huyu shemeji ni tatizo.
 

Ha ha ha ha umenifanya nicheke kwa nguvu hapo red kumbe saa nyingine huwa naharibu sasa uwe unani PM nikiharibu basi sio useme hadharani bana
 
Hivi unaona ni sifa na haki yako kuwa na nyumba ndogo?

Ningekuwa mke wako ungeshahesabu huna mke.
 
Hapo wewe ndio mwenye kosa achana na nyumba ndogo!
 
Hapo wewe ndio mwenye kosa achana na nyumba ndogo!

Hapana bana asiache,

Nyumba ndogo zinaishepu nyumba kubwa kule kwenye nyumba ndogo unapata starter kwenye nyumba kubwa unakata kiu.
 
Hapana bana asiache,

Nyumba ndogo zinaishepu nyumba kubwa kule kwenye nyumba ndogo unapata starter kwenye nyumba kubwa unakata kiu.
Ahahahahaaah!!! Kumbe nyumba ndogo zina umuhimu hivi!
 
Dah huu ushauri haujatulia, sasa kama sio mtu wa kujiexpress inakuwaje?

unasahau rais wako alisema ukitaka kula sharti uliwe? sasa yeye si kaenda kula nje. akubali na yeye aliwe...hehehe! Yeye anategemea nini tena? yani anataka tumpe ushauri wa kudanganya au nini? sometimes nashindwa kuelewa watu!
 
Shemeji alifanya makosa kwenda kumweleza dadake japokuwa inauma kuona tukio kama hilo
alipaswa kumshirikisha huyo bwana na kumshauri kubadili tabia
we mwanaume umeoa unafanya mambo kama hayo hadaharani kwa kumtambia nani
zaidi ya kujidhalilisha
kaa chini tafakari kwa makini utambue kosa lako
itakuwa rahisi kuelewa namna ya kumwomba mkeo msamaha
usipotambua kosa lako itakuwa vigumu kuomba msamaha
Ulimchagua kuwa mkeo mwenyewe ukasema huyu ndie ninaye mpenda mpe heshima yake
 
kaka umelikoroga damu ni nzito kuliko maji cha msingi hapa kubali yaishe,mwite shemeji yako kwanza umuombe yeye msamaha,na kumuomba muongozane mpaka kwa dada yake,akusaidie kumuomba dada msamaha maana inavyo onyesha bado hujakubali kosa wakati ni kweli umelitenda,mwisho achana na hiyo nyumba ndogo itakuvurugia familia,na hili la nyumba ndogo ndilo linalo sababisha wababa wengi tushindwe kuwajibika kwa watoto wetu,tunasaulika kama tupo mfono kili award kila msanii na mshukuru mama! ina maana wamezaliwa na mama tu?
 
Ahahahahaaah!!! Kumbe nyumba ndogo zina umuhimu hivi!

Mpwa nyumba ndogo ni starter tu katika maisha ya kila siku ili uyafrahie nyumba ndogo zina umuhimu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…