Nimfanyeje mke wangu aipende na kuifurahia harufu ya sigara isimkere, Ndoa bado Changa

JITU BANDIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2023
Posts
4,368
Reaction score
9,937
Hii ni Kwa wale wanaolikoka...

unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,

Tupeane uzoefu wakuu..

Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...

Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
 
Na yeye mfundishe kuvuta kama wewe. Sipati picha mtakavyokuwa mnagongeana!!!!!
 
IMG-20260712-WA0224.jpg
 
Hii ni Kwa wale wanaolikoka...

unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,

Tupeane uzoefu wakuu..

Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...

Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
Mwambie achague kitu kimoja.
Kuvumilia moshi wa sigara au kubeba vitu vyake akatafute mume asiyevuta sigara.
Kamwe usikubali akutenganishe na starehe zako.
 
Hii ni Kwa wale wanaolikoka...

unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,

Tupeane uzoefu wakuu..

Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...

Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha

Hii ni Kwa wale wanaolikoka...

unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,

Tupeane uzoefu wakuu..

Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...

Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
Unaweza kuacha sema hujaamua Tu ,

Nakushauri Acha kuvuta sigara , usije ukapoteza ndoa yako.

# CHAGUA MOJA KATI YA SIGARA NA MKE.

UWEZI KUMFUNDISHA MTU KUPENDA HARUFU MBAYA.
 
Back
Top Bottom