Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 908
- 1,857
Domo puke
Wavuta sigara wote ni matahira wameshaambiwa ina madhara na bado wanavuta, nimenukuu mistar kwenye wimbo wa Ney wa Ukikua
Ukikua au ukiishi na kusafiri unaweza ukajiona wewe na Ney wa Mitego ndio matahira. Kila kitu kina madhara inategemea na afya unaifanyia checkup kiasi gani. Soda na Energy zina madhara sawa na sigara. Sasa kama ufikirie Sigara peke yakoWavuta sigara wote ni matahira wameshaambiwa ina madhara na bado wanavuta, nimenukuu mistar kwenye wimbo wa Ney wa Mitego
Sigara za nini? Jiamini . Chanzo kikuu cha mtu kujiingiza kwenye kuvuta sigara ni kutokujiamini kuwa amekuwa ..hivyo utafuta vitu ambavyo vitamfanya aonekane amekuwa na mwamba , kumbe ni upumbavu wa kuto kujiamini.Hii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
Huyo mwanamke naye hamnazo alimkubalije bwege km wewe?Hii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
shida ya sigara siyo mdomo tu, ni mwili mzima unanuka sigara, jasho linalotoka limechanganyika na sigara, nguo zinanuka sigara, pumzi inanuka sigara..!Kama ndoa ina miezi 3 ina maana anaweza kuvumilia na kuzowea,nenda nae taratibu,
Pia usiwe unavutia ndani,vuta nje ya nyumba kisha unatumia vitu kama Big G ili kupunguza harufu,
Usiku kabla ya kulala piga mswaki au tumia mouth wash,
Najua kuacha ni ngumu sana ila unaweza kupunguza,hasa muda unapokua nae wife hapo home kwako,
All the Best.
🤣Na yeye mfundishe kuvuta kama wewe. Sipati picha mtakavyokuwa mnagongeana!!!!!
Hili ni swali zuri sana.Hamkupita hatua ya uchumba?
Kwanini umfiche mwenza wako wa maisha jambo kama Hilo?Kwani ulimficha kuwa wewe ni mvutaji mpaka mkaoana?
Haya yanawatokea wengi kwa kuficha mengi
Lissu ni Moja kati ya viumbe wenye uvumilivushida ya sigara siyo mdomo tu, ni mwili mzima unanuka sigara, jasho linalotoka limechanganyika na sigara, nguo zinanuka sigara, pumzi inanuka sigara..!
hakuna kiumbe ana uvumilivu kama mwanamke..!🙌🏾
Vutia mbali jamani.Hii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
Deep 💋 na mvuta sigara ni tamu balaa !!!.Kama ni kweli.
Sigara sio tatizo,, hakikisha kinywa chako ni kisafi kabla na baada ya kuvuta sigara.
Deep 💋 na mvuta sigara ni tamu balaa !!!.
Deep 💋 na mvuta sigara ni tamu balaa !!!.
Na wewe ni mtumiaji ? Kamq jibu ni ndiyo tuonane unikisi kwa malipo
Tangaza dau , mkubwa.Huna hela ya kunilipa dogo.