Ivi huyo mwamba kwanini hasimamishwagi
Ivi huyo mwamba kwanini hasimamishwagi
Wewe ni mpumbavu.Hii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
Umesema afurahie harufu ya sigara ?
I hope hauzungumzii pombe aina ya safari lager, pilsner, serengeti, balimi na jamaa zao wala matapu tapu.Bora mtu anywe pombe naweza kuvumilia ila sigara hapana
Bora mtu anywe pombe naweza kuvumilia ila sigara hapana
Waifu achimbe tuACHA KIMOJA WAPO.
How uwe safarini halafu umchukie aliyekunywa safariI hope hauzungumzii pombe aina ya safari lager, pilsner, serengeti, balimi na jamaa zao wala matapu tapu.
To me, pombe zinanuka aiseee!!. Usiombe usafiri safari ya muda mrefu na mtu amekunywa, ni changamoto!
😀😀How uwe safarini halafu umchukie aliyekunywa safari
Just joking
Sasa kwanini zinauzwa ilhali hazina faida?Sigara ni mbaya kuliko vyote viingiavyo lwa mwanadamu. Anayekumywa pombe, ni yeye mnywaji ndiye anayeathirika, lakini anayevuta sigara anawaharibia afya ninyi nyote mnaoishi kwenye mazingira yake. Huyo mwanamke kama anathamini afya yake, aachane na huyu mume mbugia sumu 250 mwilini mwake:
Cigarette smoke contains over 7,000 chemicals, including at least 250 that are known to be toxic or poisonous, and around 70 that cause cancer
Vipi akiwa havuti sigara ila anavuta bangi?Bora mtu anywe pombe naweza kuvumilia ila sigara hapana
Hata heroine na cocaine zinauzwa.Sasa kwanini zinauzwa ilhali hazina faida?
Hizo ulizotaja zinakatazwa, hivyo wanaouza wanauza kinyemela.Hata heroine na cocaine zinauzwa.
Hata sumu za kujichubua wanazotumia wanawake zinauzwa
Kuuzwa na kununuliwa hakumaanishi hiyo bidhaa ni ya muhimu.