Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,676
- 128,227
Mie niko poa kabisa mdogo wangu.Nimekumiss pia sana Sis Shaddie..!
unaendeleaje mama..!??
Haya tupo mwaya.
Mie niko poa kabisa mdogo wangu.Nimekumiss pia sana Sis Shaddie..!
unaendeleaje mama..!??
USiache aisee kuna jamaa hapa aliacha sigara baada ya siku 3 akafa kwa ajari we unadhani chanzo ninini kama sio laana ya kuacha fegiNimekuwa nikivuta sigara mwaka wa 9 huu..hapo nyuma kidogo nimekutana na binti alinipenda hv hv na mifegi yangu,na tukaishi vzr kabisa ila nature iliamua siko nae sasa nimepata mwingine nae anavumilia japo najitahidi sana kiwa smart na mwenye kunukia kila wakati,napiga mswaki mara kwa mara,natumia hydrogen peroxide mouth wash inauzwa buku tu inatoa harufu mbaya kinywani.
Ila nina mpango wa kuacha sasa
Wacha buana! EehKama ni kweli.
Sigara sio tatizo,, hakikisha kinywa chako ni kisafi kabla na baada ya kuvuta sigara.
Deep 💋 na mvuta sigara ni tamu balaa !!!.
Wewe ukipewa nasaha kwa njia ya kupakwa mafuta kwa mgongo wachupa hautasaidika.Hii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
Mshawishi na yeye avuteHii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
Anza taratibu Kila kitu kilianza kidogo kidogo Kisha kitu kamili ukiwa unakula fegi unaweza kushika pesa mkono mmoja unampa pesa ya nyama au ya kwake akatumie tenga kias flani hivi kutokana na hazi zenuHii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
Bikra hawezi kujua utamu wa dhakari....hadi pale atakapoingia mwenyewe mchezoni!.Sigara Haina faida yeyote
SawaFaida pekee anayoipata mvutaji ni kuharakisha kuiharibu afya yake. Ni kama mtu anayechukua kamba kujinyonga, huwezi kumzuia, lakini akijinyonga, anapata faida gani?
Kuna watu ambao wamekata tamaa, kwao uhai na afya zao siyo muhimu kama faraja ya maamuzi yao. Niliwahi kumsikia mvutaji mmoja wa sigara akisema: ni kweli sigara ni hatari kwa maisha yangu, lakini kuna vingapi vilivyo hatari? Hata gari linaweza kuniua, wacha niuawe na moshi wa sigara!! Kwa hiyo kuna watu wa namna hiyo. Ni sawa na jamaa mmoja, kama miaka 20 iliyopita, ukimwi ulipokuwa umeshika kasi, kukawa na dada mmoja mrembo sana, vijana walikuwa wakimwongelea sana. Mmoja akasema kuwa huyo dada hayupo salama kwani kati ya wapenzi wake, mmoja ambaye alikuwa mfanyabiashara, tayari yupo hoi kwa HIV. Kijana mmoja alikuwepo hapo karibu akasema, 'hata nikiambiwa huyo msichana ana HIV, akikubali simwachi, wacha nife tu kwa ukimwi'.; kwa hiyo ufahamu kuwa kuna wanadamu wa namna hiyo. Kwao uhai hauna thamani, kilicho muhimu kwao ni furaha yao ya siku hiyo. Wavutaji wa sigara, huwa hawataki kabisa kusikia wala kufikiria madhara ya sumu za sigara, yanapowajia, wanataka wayaone kama ni ajali tu.
Dunia hii kuna kila tabia za watuKwanini umfiche mwenza wako wa maisha jambo kama Hilo?
Hiyo haiwezekani,jitahidi kuacha kuvutaHii ni Kwa wale wanaolikoka...