JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Na yeye mfundishe kuvuta kama wewe. Sipati picha mtakavyokuwa mnagongeana!!!!!Hii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
Kama hujawahi kulikoka, unashauri nini....?Na yeye mfundishe kuvuta kama wewe. Sipati picha mtakavyokuwa mnagongeana!!!!!
Mwambie achague kitu kimoja.Hii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
Una familia? Umewahi kumiliki mke?Mwambie achague kitu kimoja.
Kuvumilia moshi wa sigara au kubeba vitu vyake akatafute mume asiyevuta sigara.
Kamwe usikubali akutenganishe na starehe zako.
Dogo pokea ushauri.Una familia? Umewahi kumiliki mke?
Huu ushauri wako ni ushauri unaotolewa na shikamoo shemu,ama shikamoo baba!
Hii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha
Unaweza kuacha sema hujaamua Tu ,Hii ni Kwa wale wanaolikoka...
unaweza kumfanyaje mwenza wako aifurahie harufu ya sigara isimkere?,
Tupeane uzoefu wakuu..
Safari ndio kwanza imeanza!, ndoa ina miezi mitatu!...
Naiona kazi kubwa! Mbeleni! Na kuacha kulikoka ndio kitu siwezi hata kufikiria kuacha!
Gani wa mara unaandika kama mtu wa kizimkazi..heshimu mpepe aiseeWavuta sigara wote ni matahira wameshaambiwa ina madhara na bado wanavuta, nimenukuu mistar kwenye wimbo wa Ney wa Mitego