Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mkuu kutuma pesa kwani ni kutumia pesa?[emoji30][emoji30][emoji30]Tumia pesa ikuzoee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kutuma pesa kwani ni kutumia pesa?[emoji30][emoji30][emoji30]Tumia pesa ikuzoee
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]mwambie akutumie 30000 halafu utamtumia hiyo 20000
He who doesn't care losing a shoelace/ string will lose a shoe.Elf 20 tu unakuja kulialia jf angekwambia umtumie laki 1 si ungeandamana ebu tuma hiyo hela acha kulia lia unawaaibisha wanaume wenzio
Mwambie hela ninayo lakini sikupi fanya kazi,au badilisha ujumbe usomeke hivi NAOMBA UNIKOPESHE........Jamani hivi wanawake nani kawaroga?? Muangalieni huyuView attachment 796612
Mwambia wewe unashida na papuchi mbadilishane au nipe no yake
Unataka mzigo bure ukula nawewe utaliwa unataka salamu nyingi bure tu ngoja wenye meno waleWewe ni mwanamme wa Dar tu, huwezi nidanganya hata iweje. Yaani mwanamme unafikaje katika status kama hii ya kuhonga wanawake? Mwanamke haongwi, ni mazungumzo murua tu ndiyo dawa yake...ongea naye polepole na kwa kujiamini. Kama yuko interested papuchi utapata, ila kuhonga shows your weakness na hii ni dalili kubwa ya wanaume wa Dar. Mwanamke yeyote anayetaka hongo mpitie mbali kwani huyo ni mjasiliamali wa mwili, muda huu anakuomba wewe milioni ukimpa anakucheka na kwenda kumuomna mjinga mwingine. Kwa kweli nyie wanaume wa Dar ni majanga na mnatudhalilisha sana wenzenu.
Jamani hivi wanawake nani kawaroga?? Muangalieni huyuView attachment 796612
Unataka mzigo bure ukula nawewe utaliwa unataka salamu nyingi bure tu ngoja wenye meno wale
Kunawengine hadi ulazimishe ndio wakupeHakuna mwanamke asiyependa kuliwa uroda, asikudanganye mtu.
Kunawengine hadi ulazimishe ndio wakupe
Huyo ni kanali mstaafu usimlaumu sana.Si unajua tena mpaka alipwe pension mwisho wa mwezi?Mwanaume wa dar bwana.. ona huo muandiko ni wa kutumiwa na mwanaume kweli pia 20k sio ya kuja kupiga kelele humu
Shem unajivutia upande wako tuElf 20 tu unakuja kulialia jf angekwambia umtumie laki 1 si ungeandamana ebu tuma hiyo hela acha kulia lia unawaaibisha wanaume wenzio
Hapo inategemea urafiki wenu upoje. ila inasikitisha mtu kama huyo unakuta hata wiki haijakatiza toka mjuaneJamani hivi wanawake nani kawaroga?? Muangalieni huyuView attachment 796612
Sio najivutia shem atume helaShem unajivutia upande wako tu
Mwambia wewe unashida na papuchi mbadilishane au nipe no yake
itabidi alogwe tu hakuna namnaKhaaaa umeamua kumuabisha shost wangu