Nimjibu nini huyu?

Nimjibu nini huyu?

PESA HAPO UNGEMPA TU SI ANAKUPAGA AU ILA KAKOSEA KUOMBA MESEJI HAZINA ADABU
 
Elf 20 tu unakuja kulialia jf angekwambia umtumie laki 1 si ungeandamana ebu tuma hiyo hela acha kulia lia unawaaibisha wanaume wenzio
He who doesn't care losing a shoelace/ string will lose a shoe.

Hakuna uanaume wa hivyo Mkuu,akienda kwa mwendo unaotaka aende nao hawezi fanikiwa hata siku moja - DAWA YA UTAJIRI NI UBAHIRI.
 
Mwambia wewe unashida na papuchi mbadilishane au nipe no yake

Wewe ni mwanamme wa Dar tu, huwezi nidanganya hata iweje. Yaani mwanamme unafikaje katika status kama hii ya kuhonga wanawake? Mwanamke haongwi, ni mazungumzo murua tu ndiyo dawa yake...ongea naye polepole na kwa kujiamini. Kama yuko interested papuchi utapata, ila kuhonga shows your weakness na hii ni dalili kubwa ya wanaume wa Dar. Mwanamke yeyote anayetaka hongo mpitie mbali kwani huyo ni mjasiliamali wa mwili, muda huu anakuomba wewe milioni ukimpa anakucheka na kwenda kumuomna mjinga mwingine. Kwa kweli nyie wanaume wa Dar ni majanga na mnatudhalilisha sana wenzenu.
 
Unataka mzigo bure ukula nawewe utaliwa unataka salamu nyingi bure tu ngoja wenye meno wale
 
Mwanaume wa dar bwana.. ona huo muandiko ni wa kutumiwa na mwanaume kweli pia 20k sio ya kuja kupiga kelele humu
Huyo ni kanali mstaafu usimlaumu sana.Si unajua tena mpaka alipwe pension mwisho wa mwezi?
 
Kama unajihisi "uchoyo" kumsaidia, basi muombe mchanganuo wa matumizi ya hiyo elfu 20.
Ka hela kadogo hako ndio hadi unapandisha uzi.🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁 hebu mpe mwenzio hukooo!!!!
 
Back
Top Bottom