Nimpende Na kumuoa nani!

Nimpende Na kumuoa nani!

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Wasalaamu!
Nina wachumba wanne tofauti Na nipo katika hatua za mwishoni kufunga ndoa January.

Sasa Nina wachumba wanne ambao wote waliomba niwaone nami nikawaahidi kuwaoa!

Lengo ninaogopa kukosea sana maana sitaki kuoa Na kuacha!
Wanawake wenyewe Na sifa zao ni hizi nisaidieni kubaini mke mwema!

Wa kwanza!
Ni mtoto Wa kinyarwanda miaka 20.
Ana umbile namba 8,elimu cheti cha maendeleo ya jamii.mpole ila hapendi utani utani,in short very serious!
Anapenda dini ila ana amri amri tu,hupenda kwenda kanisani tu ambako ni mwana kwaya,ananishauri niache u DJ eti sio kazi! Nitafute kazi.

Wa pili ni mwarabu nusu mixture,ana bonge la shepu,chura ya kufa mtu,ila anapenda chapaa sana,yani akija ghetto lazima aondoke Na misimbazi!
Nilimbikiri mm mwenyewe akiwa Na miaka 18,anasema ataniroga ikiwa nitaoa mwingine!
Pia huniagiza vitu vidogo vidogo sokoni naona kero!

Wa tatu ni dada mmoja mnyaturu Wa singida nilizaa nae mtoto nikiwa chuo!
Huyu niliwahi kudaka mawasiliano yenye utata ktk simu yake nikapiga chini ila mtoto namuhudumia 100%.
Yeye ni nesi.

Wa NNE ni single mother, ana miaka 25 nilikutana naye club ana degree Na anafanya kazi NSSF,ametokea kunipenda sana Na nikimwambia naona mwingine anaweza akazimia!

Ushauri wakuu.
 
Bora wa nne kwa mawazo angu mm huyo mwarabu mwenzangu achana nae
 
Wewe DJ kati ya hao unampenda nani?
Siwezi kuwa balance sana ila Wa pili nimetoka nae mbali kidogo,ni mwanamke wangu Wa kwanza hivyo kumbukumbu hizo zinanifanya nimpende
 
Nafuu hamna kama wewe mhusika hujafanya uchaguzi maaana nakumbuka una uzi unaosema unaenda kuoa mnyarwanda nadhani wewe ndo utuambie yupi anakivutia zaid
Navutiwa zaid Na namba 2 ila tegemezi sana! Pia ananipeleka sana
 
Navutiwa zaid Na namba 2 ila tegemezi sana! Pia ananipeleka sana
Hapo kwenye kupelekwa umechagua wewe maana hujamwosha msimamo wako kama mwanaume kama ni utayari wako ni kuonyesha msimamo wako uone uelekeo wake na ndo utajua je nae yuko tayari kuwa na wewe
 
Hapo kwenye kupelekwa umechagua wewe maana hujamwosha msimamo wako kama mwanaume kama ni utayari wako ni kuonyesha msimamo wako uone uelekeo wake na ndo utajua je nae yuko tayari kuwa na wewe
Yaani ni mtoto Wa mama mno,sijui kama atakuja kutoka kwao.mama yake mzazi anamganda mno hataki binti yake aolewe,akitoka kidogo kuja gheto mamake anapiga simu weeee wakati huyu ni mtu mzima
 
Yaani ni mtoto Wa mama mno,sijui kama atakuja kutoka kwao.mama yake mzazi anamganda mno hataki binti yake aolewe,akitoka kidogo kuja gheto mamake anapiga simu weeee wakati huyu ni mtu mzima
Je wewe unampenda na umeona utamtimizia mahitaji yake kama ndio oa yule anae ufanya moyo wako kuwa na furaha
 
Back
Top Bottom