Nimpende nani:asha,mariam ama jenny

Nimpende nani:asha,mariam ama jenny

Joined
May 10, 2012
Posts
92
Reaction score
71

Asha, Mariam na Jenny ni wadada hapa kazini maeneo flani katikati ya Jiji hili la karaha (Bongo Dar-Es-Salaam).

Asha yuko risk management department,Mariam yupo Operations na Jenny nipo nae Credit Department. Hao mabinti kila mmoja ana sifa za kipekee.

SIFA KUU ZA ASHA

1.Ana Miaka 21 - Binti Kigoli

2.Urefu Wake ni about 5'6

3.Ni Slim But Mgongo umetanuka kwa uzuri kabisa. You know What I Mean..lolz

4.Kabila lake ni Mmachame - Kitu Cheupee

5.Mpole ila anaonekana ana wivu sana - B'Coz Akiniona na Chat Na Maduu Wengine Kwa Canteen Huwa Ananipotezea

SIFAA KUU ZA MARIAM

1.Ana Miaka 24

2.Urefu Wake ni about 5'4

3.Sio Mnene Sio Mwembamba - Size Ya Kati

4.Ana Miguu mizuri

5.Ana Hips Za Ukweli - Akivaa Jeans ziko za Friday - Watu Mate Huwatoka Tiririi

6.Ni Muongeaji Sana - Nikiwa Nae I Dont Feel Bored

7.Kabila Lake Ni Mpemba - Lafudhi na Sauti Yake Ya Kubana Huwa Inaniachaga Hoi!!

SIFA KUU ZA JENNY

1.Umri wake ni Miaka 27

2.Rangi yake ni maji ya kunde -

3.Kitu kimeenda hewani about 5'9 akivaa heels huwa tunalingana - am about 6'2

4.Ana Usafiri Binafsi - So Huwa Hanisumbui Sumbui Na Lifti Kama Asha

5.Ana umbo lenye mvuto - Yaani hata kuelezea inakua shida.

6.Anapenda Starehe Sana - Kila WeekEnd Anataka Tutoke At My Own Money (Kwake Cost-Sharing Ni Issue) - Sometimes Huwa Nadanganya Naumwa ama Niko Shamba


So, wadau wa MMU msaada jamani nimpende nani?
 
Umeshindwa kujipenda kwanza wewe mwenyewe, ndio maana unamatamaa ya ovyo ovyo, jiheshimu umalaya sio mzuri sana ndugu yangu hao wote hawakufai ila mitamaa yako tu ndio inakupeleka ndio maana kila mmoja unamtaka, uo kwa jina lingine ni uasherati au ushetani mdogo
 
Jipige chini mwenyewe kwanza, coz you are not worth your love leave alone somebody's!
 
Hakuna kupenda hapo wote mnatamaniana kutokana na position zenu hapo kazini,yaani wote ofisi moja duh Mungu akuponye.
Hizo hela za kutoka nunua hata kiwanja
 
Ila ambacho sijakuela ni kwamba hao wote una uhusiano nao wa kimapenzi au ndo unataka kuanzisha uhusiano na mmoja wapo? Na kama wote uko nao tayari alafu unashindwa kubaki na mmoja, wagonganishe wote kanteen then hapo ndo utajua moyo wako upo kwanani zaidi.
 
Tafadhalini sana Kaunga, AshaDii, gfsonwin, Kiranga, Dark City hebu leteni somo muwafundishe vijana kujisimamia kifikra maana hali ni mbaya.Vijana wanataka mpaka wachumba JF iwachagulie,wengine wake zao wana cheat wanataka JF iwaamulie kama wawasamehe ama laa,hii ni hatari!
Wasamehe bure mkuu. Siku zote wajukuu hustuka kila nerve wanaposikia sauti ya babu au bibi!
 
Last edited by a moderator:
lalalalalalaaaa

lalaalalalalalalalalalalalaaaa

lalalalaalalalalalalalalalalalalalalalal tumtumtumtuuuuuuuu tiiiiiiiii

mwenyewe hujipendi utawezaje kupenda wengine?
 
Back
Top Bottom