Umeshapata lunch?naona una njaa,hebu nenda ktk mgahawa uagizie chakula halafu wataniletea invoice nikulipie
Hahaaaaaa Mwulize mchumbaangu Lily Flower akuambie lanchi yangu ilikuwaje! we shauri yako utashangaa....... hujui Madame B ndo aka Dorcas = Liberatus hahaaaaa

Lily Flower kanikonyeza kasema lunch yako ni maboga na juisi ya ukwaju.

Baby afu nadaiwa kodi ya nyumba.
Na Mange ameleta kiatu kizuri hiko.
Sasa....
Bado hajakuambia...................... my Lily Flower amefundwa hasemi siri za jikoni bana
My dear Madame B unataka talaka inifuate huku niliko taratib basi.