Nimpende nani kati ya Madame B na Nasema

Umeshapata lunch?naona una njaa,hebu nenda ktk mgahawa uagizie chakula halafu wataniletea invoice nikulipie

Hahaaaaaa Mwulize mchumbaangu Lily Flower akuambie lanchi yangu ilikuwaje! we shauri yako utashangaa....... hujui Madame B ndo aka Dorcas = Liberatus hahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu na Madame B wapi na wapi bana? lakini mh... nisiseme sana, dada. wa watu safari umeingia kusiko, kutoka na serengeti boy wa fom foo ni kujiaibisha, usione dogo mrefu, niulize mimi kitaa kimoja wakati anaenda shule anaomba mia mbili ya nauli, now anadate Madame B?
 
Last edited by a moderator:
hubby wangu Asprin kam zis way usikie maneno kuntu juu ya mkeo! eti mie mutoto ya mujini??!! hubby game la jana sina la kusema! hebu njoo PM nikupongeze!! mwahhhhh!
 
Acha uzushi @C6,
Me mbona nina siri zako nyingi tu?
Au nimwambie charminglady?
Sema suu...
 
Last edited by a moderator:
Ili kulinda na kuendeleza penzi lenu unahitaji maji na mbolea

Hahaaaaaa Mwulize mchumbaangu Lily Flower akuambie lanchi yangu ilikuwaje! we shauri yako utashangaa....... hujui Madame B ndo aka Dorcas = Liberatus hahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mshapewa boom?

Chimbuvu na Madame B wapi na wapi bana? lakini mh... nisiseme sana, dada. wa watu safari umeingia kusiko, kutoka na serengeti boy wa fom foo ni kujiaibisha, usione dogo mrefu, niulize mimi kitaa kimoja wakati anaenda shule anaomba mia mbili ya nauli, now anadate Madame B?
 
Last edited by a moderator:
Hayo si mambo ya kitandani unayaleta ktk magazeti?

Back
Top Bottom