NIMR mko wapi?

NIMR mko wapi?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Shame upon you! (mnisamehe) Mmeshindwa kufanya lolote as an Institution of medical research? Mnaleta boiled concoction of local herbs kuwa ndiyo utafiti wa COVID-19? PhD holders kweli? Hiyo waachie Babu wa Kikombe Loliondo, siyo nyinyi! Kwani bibi zenu kijijini hiyo ya kuchemsha miti shamba itamshinda? Si ndiyo wamekuwa wakifanya FROM TIME IMMEMORIAL, tangu dunia iwepo na mababu/mabibi zetu? Mna tofauti gani na bibi huko kijijini? We needed more scientifically based undertaking on these herbs, not mere boiling!

You need to revamp your research agenda. Nashauri kuwa you need strong collaboration with European/ US labs kuwatoa hapo mlipo. Tatizo ninaloliona mbele yenu ni baba mchukia "mabeberu" , sijui kama atawapa support ya ku- access labs hizo.

Acheni kuwa sample collectors for European /US labs, cooks with PCR machines, and the like!

NIMEANDIKA HAYA KWA NIA NJEMA KABISA AND NOT TO RIDICULE YOU! KAMA NIMEWAUDHI MNISAMEHE
 
Awo mkuu nivibaraka wa chama chakavu / sahivi wamebaki kupitisha pilipili zilizochanganywa na vitunguu swaumu eti zinatibu corona
sikutegemea such a move from a Medical Institution! Afadhali wangelijikalia kimya kuliko kujidhalilisha mbele ya dunia ya wasomi! KEMRI, UVRI hawakufanya "ujinga" huo, hawana uwezo wamajinyamazia!
 
NIMR wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Sidhani kama wanastahili kulaumiwa.
 
... hakuna kingine zaidi ya kuwinda teuzi! Usishangae profesa akiteuliwa kuwa DC/RC akafanya hadi sherehe! Badala ya kufanya tafiti kutafuta ufumbuzi wa matatizo ya jamii focus imebaki kwenye teuzi, "kuweka nia", au kuandika vipepa uchwara kutafuta ufadhili wa vimiradi visivyo na kichwa wala miguu as long mtu kakatiwa return ticket kuhudhuria semina Stockholm maisha yanasonga.
 
NIMR wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Sidhani kama wanastahili kulaumiwa.
You might be right! Afadhali wangelijinyamazia kuliko kiaibisha mbele wa wenzao wa Kenye, (KEMRI), UVRI (Uganda) etc!
 
NIMR wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Sidhani kama wanastahili kulaumiwa.
... wajanja kweli kwenda na "mdundo wa ngoma". Walishajua inayo-hit kwa sasa ni ama nyungu au mitishamba kwanini wasiogelee humo humo? Wajanja kinoma.
 
au kuandika vipepa uchwara kutafuta ufadhili wa vimiradi visivyo na kichwa wala miguu as long mtu kakatiwa return ticket kuhudhuria semina Stockholm maisha yanasonga.
Umeandika vema, wanapata tiketi za Ulaya na watoto wao wanasoma FEZA! vijumba vyao vinaezekwa etc
 
... wajanja kweli kwenda na "mdundo wa ngoma". Walishajua inayo-hit kwa sasa ni ama nyungu au mitishamba kwanini wasiogelee humo humo? Wajanja kinoma.
Naanza kuelewa/kuwaelewa! Basi nisiwalaumu!
 
... wajanja kweli kwenda na "mdundo wa ngoma". Walishajua inayo-hit kwa sasa ni ama nyungu au mitishamba kwanini wasiogelee humo humo? Wajanja kinoma.

Exactly ukila na kipofu usimshike mkono. Unaona yaliyomkuta ndugu naibu waziri aliepita
 
Shame upon you! (mnisamehe) Mmeshindwa kufanya lolote as an Institution of medical research? Mnaleta boiled concoction of local herbs kuwa ndiyo utafiti wa COVID-19? PhD holders kweli? Hiyo waachie Babu wa Kikombe Loliondo, siyo nyinyi! Kwani bibi zenu kijijini hiyo ya kuchemsha miti shamba itamshinda? Si ndiyo wamekuwa wakifanya FROM TIME IMMEMORIAL, tangu dunia iwepo na mababu/mabibi zetu? Mna tofauti gani na bibi huko kijijini? We needed more scientifically based undertaking on these herbs, not mere boiling!

You need to revamp your research agenda. Nashauri kuwa you need strong collaboration with European/ US labs kuwatoa hapo mlipo. Tatizo ninaloliona mbele yenu ni baba mchukia "mabeberu" , sijui kama atawapa support ya ku- access labs hizo.

Acheni kuwa sample collectors for European /US labs, cooks with PCR machines, and the like!

NIMEANDIKA HAYA KWA NIA NJEMA KABISA AND NOT TO RIDICULE YOU! KAMA NIMEWAUDHI MNISAMEHE
Brainwashed mind.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom