kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Kuna haja gani ya kuwa na Wizara ambayo heileti solution? Kama hadi sasa hakuna muongozo wa Wizara kuhusiana na tatizo hili, matokeo yake watu wanajipaka tuu madude yasiyoeleweka na kupelekea wengine kupata upofu.
Hata ukienda hospitali wanakwambia hatuna maelekezo hivyo mkanawe tuu!
Hii ni fedheha, maana ni zaidi ya miezi minne sasa tangu shida hii ianze kwa Watanzania.
Hata ukienda hospitali wanakwambia hatuna maelekezo hivyo mkanawe tuu!
Hii ni fedheha, maana ni zaidi ya miezi minne sasa tangu shida hii ianze kwa Watanzania.