kabugira
JF-Expert Member
- May 14, 2014
- 1,186
- 659
National Institute for Medical ResearchSamahani nndugu Ralph Tyler kwa faida yangu na wengine NIMR kirefu chake nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
National Institute for Medical ResearchSamahani nndugu Ralph Tyler kwa faida yangu na wengine NIMR kirefu chake nini?
hamna kitu kama hiko. research huwa inaanzishwa na taasis yenyewe. halaf wanatafuta wadau wa ku support.... wanapewa grants na mabeberu halafu wanaelekezwa maeneo ya kufanya tafiti based on beberu's interests! Tunapigana vita vikali sana, sio vya kiuchumi tu Mkuu.
Hakuna ilichofanya NIMR kwenye eneo hilo zaidi ya kudesa kazi zinazofanywa na mpango wa malaria ambao uko wizara ya afya.Mkuu kwemaaa?, una ushahidi na ubachokisema? NIMR kwa upande Wa suala ka kutokomeza malaria nchini naona kama wsmejitahidi sana,ni asilimia ndogo imebaki.
Labda wanafanya utafiti katika historia ya utabibu nchini.Sawa mkuu, sasa nafikiria hao waliosoma history humo wanafanya nini.
Kwanza head of institute ni marine biologist. Anafanya nn pale juu?Ma virology na vaccine scientist tumejaa tele mtaani ha ha ha
National Institute foir Medical ResearchSamahani nndugu Ralph Tyler kwa faida yangu na wengine NIMR kirefu chake nini?
Hahahaha, kwahiyo Itegamatwi ni nyumbani kwenu?Upo sahihi, hicho kijiji sio mbali na kijijini chimbuka la kwetu. Nimelipenda jina kutokana na maana yake zaidi kuliko sehemu husika. Mimi humu mostly ni Mtega matwi tu.
Mwenyewe nimekunywa sikuona chochote .[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!!.Kchumbari[emoji23]
Ahsante,tunashukuru kwa matusi yako[emoji23]
Hapo ndio umeandika nini?Umesimuliwa ukakimbilia kuja kubandika bango humo kana kwamba una akili sana kumbe bure tu.
Kama huna uwezo wa kujua taaluma halisi za watu ni ngumu sana kwa ninyi wanasiasa uchwara kuelewa nini maana ya usalama wa nchi na raia wake. Ninaweza kuwa nataaluma yangu halisi lakini ili niweze kuingia mahali fulani ninasomea taaluma nyingine wezeshi kuingia ndicho kilichopo lakini wewe unatupigia kelele kama mtoto mdogo aliyezaliwa leo ambaye ni sharti aliye kuthibitisha ni mzima na ana afya ya kuhisi mazingira yanayomzunguka kwa muda huo sio rafiki.
Rekebisha tabia hiyo kubagaza wanataaluma. Kama ulisomea HGL, HGK, HGE nk lakini hukujiongeza kusomea vitu vingine usiwaonee nongwa wenzio.
Mkuu uko NIMR kwa mgongo wa history?Umesimuliwa ukakimbilia kuja kubandika bango humo kana kwamba una akili sana kumbe bure tu.
Kama huna uwezo wa kujua taaluma halisi za watu ni ngumu sana kwa ninyi wanasiasa uchwara kuelewa nini maana ya usalama wa nchi na raia wake. Ninaweza kuwa nataaluma yangu halisi lakini ili niweze kuingia mahali fulani ninasomea taaluma nyingine wezeshi kuingia ndicho kilichopo lakini wewe unatupigia kelele kama mtoto mdogo aliyezaliwa leo ambaye ni sharti aliye kuthibitisha ni mzima na ana afya ya kuhisi mazingira yanayomzunguka kwa muda huo sio rafiki.
Rekebisha tabia hiyo kubagaza wanataaluma. Kama ulisomea HGL, HGK, HGE nk lakini hukujiongeza kusomea vitu vingine usiwaonee nongwa wenzio.
Yaani mkuu ume-spot vizuri. Siyo kwa povu hilo!Mkuu uko NIMR kwa mgongo wa history?
Povu kama hili ni rare kuliona kwa professionals.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh!!.Kchumbari[emoji23]
Ahsante,tunashukuru kwa matusi yako[emoji23]
Sasa ile siyo kachumbari halafu inauzwa 15k.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mtanzania nwenzetu kavurugwa huyo
Hata urais wa taifa letu unatakiwa kusomea siasa kivukoni kwanza taaluma yako haitakiwa kwenye urais taaluma zetu hazielekezwi kwenye kazi husika.Kwanza head of institute ni marine biologist anafanya nn pale juu?
Mtu wa marine inamuweka kwenye health? seriously.
Uongozi wa kisiasa hausomewi mkuuHata urais wa taifa letu unatakiwa kusomea siasa kivukoni kwanza taaluma yako haitakiwa kwenye urais taaluma zetu hazielekezwi kwenye kazi husika
Atakuwa NIMR kwa mgongo wa History.Yaani mkuu ume-spot vizuri. Siyo kwa povu hilo!!
Kama taifa tunaweza kutengeneza hili la sivyo tutaendea kuboronga tujenge tabia ya kutulia katika fani zetu tutakapotulia katika fani hapa ndipo tutapata akina da vinci wapya na wagunduzi wapyaUongozi wa kisiasa hausomewi mkuu
Uongozi ni kipaji siyo taalumaKama taifa tunaweza kutengeneza hili la sivyo tutaendea kuboronga tujenge tabia ya kutulia katika fani zetu tutakapotulia katika fani hapa ndipo tutapata akina da vinci wapya na wagunduzi wapya