1. Miaka yote zaidi ya 40 ya uwepo wa NIMR, wameongeza nini katika ufahamu wa mambo ya tiba Tanzania? Ni utafiti gani waliowahi kuufanya ukaleta tija katika kupunguza au kuondoa tatizo lolote la kiafya? Jibu ni zero.
2. Hivi kuna dawa yoyote sokoni (dawa ya maana yenye viwango stahiki, na siyo ile michanganyiko ya pilipili kichaa na tangawizi waliyoiga kutoka kwa waganga wa kienyeji) au vifaatiba hospitalini au maarifa mapya yoyote ya tiba yaliyowahi kugunduliwa na NIMR? Jibu ni hakuna.
3. Nina jamaa zangu nimesoma nao History na English pale Mlimani, eti nao wanafanya kazi NIMR wananiambia wanaitwa "Research Scientist". Hiki ni kituko! Scientist wa history, English, Kiswahili, sociology na Political Science anafanya nini kwenye MEDICAL research? Ingekuwa HEALTH research ningewaelewa kwa kuwa afya ni suala mtambuka lenye mambo ya kisiasa, kiuchumi na kijamii yanayoathiri afya, lakini medical research ni mambo ya maabara, madawa, mawodini huko wanakotibiwa wagonjwa, operations mpya mpya kama hizi za moyo na figo nk. Tunasikia huko Jakaya Kikwete institute, Benjamin Mkapa Hospital na hata MOI wakifanya innovations mpya mpya, lakini mchango wa NIMR kwenye hizi innovations uko wapi?
4. Mkurugenzi wa NIMR ni profesa wa Marine Biology. Hii ndiyo medical research? Hakuna medical researcher nchi hii mwenye sifa ya kuwa mkurugenzi wa NIMR? Sasa marine biologist na medical research wapi na wapi? Ndio chanzo cha kwenda kudesa michanganyiko ya waganga wa kienyeji na kutuambia ni dawa za korona!
5. Kwa ujumla NIMR ni kimeo, haina faida kwa nchi, ifutwe tu.
Evil!!! Malecela team typical hii!! na wenzako wote ndiyo mnao iponda NIMR !!! sababu tu mlitumbuliwa sasa mnachuki na walee walio baki NIMR, mnaanza kuchombeza fitna kwa uongozi wa sirikali ujao!! lengo ni ili wafikirie kuifuta NIMR eti haina faida!!
kumbuka nyie na kundi lenu lile la ulaji ndo mmeifikisha NIMR hapo ilipo mliifanya kuwa Mali yenu binafsi ya kufadisha marafiki na familia zenu mnachaguana! chaguana tu kindugu kirafiki na kulindana kimaslahi!! mliifanya km kijiwe binafsi!
Ulikwa ukiwa na msimamo tofauti tu na huyu mtoto wa Malecela unafutwa kazi! sasa amefukuzwa kitambo ana kinyongo na hii hali anaona km ameonewa kijicho anataka rudi imeshindikana!! wewe na mnao fanana na hao tunawajua vizuri sana hapa NIMR.
Baada ya wana NIMR kuona hamfai kuongoza Organisation hii!! na kuwaambia wazi wazi mkachukukia, baadhi yao mkawapiga chini!! baadae tuliobaki mkaona km tumewachongea kwa Rais, tuna roho mbaya, chuki, hatuwapendi tuna chuki binafsi!!
Kutumbuliwa kwenu ndo sababu za chuki zooote hizi zenye chokochoko mlima!! kuwa NIMR haina maslahi kwa taifa wakati nyie mpo mbona Maneno km haya hayakuwepo haya yoote??? nchi kama Nchi Medical research ni uhai wa taifa!!! chunguza Duniani poote!
Uta chunguza vipi magonjwa na tiba muafaka ya watu wa jamii yako pendwa yaani wananchi bila chombo hiki? pia kumbuka NIMR inaushirika na mashirika mengi ya kimataifa Duniani km CDC tunashirikiana nao kufikia lengo letu la kitabibu !!
kifupi ni uhai wa Dunia, siyo uhai wa Tanzania tu pekeyake!!! Dunia ya leo tunahitajiana mno kitiba, ki afya !! kiuchumi pia Kuliko unavo dhani kibinafsi yako! umeeleza kiwivu wivu sana!! labda ungesema tuifanyie mabadiliko inapo bidi! hapo ningekuelewa!
Ndg Rais utakaekuja na uliepo sasa!! jiulize kwa nini NIMR ipondwe kwa wakati huu wa utumbuaji moto moto na si kabla? hao hao waliokuwa wanaiyumbisha NIMR ndo wanaleta za kuleta sasa , sababu wanaijua mwanzo mwisho! Malecela Group!
NIMR haitafutwa ila tutawafuta watendaji/ wafanyakazi/washirika wasio kuwa na tija, wabovu wavivu, wazembe wasio wabunifu!! wala hatuna mpango wa kujaza tu Medical personel kwenye chombo hiki pendwa hayo siyo malengo ya NIMR!!!
Lengo letu kitaaluma ni sisi kama NIMR watu wenye;
Mtizamo chanya
Nidhamu za kitafiti
Upeo!
Ari!
Uwezo wa kitafiti!
Nia! sababu
capacity
Malengo,
Nidhamu nk kwa ajili ya kufikia malengo yetu muanana ya kitafiti!! hatukurupuki kuajili wafanyakazi wa kufanya tafiti tuliyo yafanya ni mengi sina haja ya kuyaorodhesh hapa! umesema kwa ajili uko full jazba .kisasi mtuache tufanye kazi!
Uhai wa Idara ya Afya ni Muhimu sana kuliko unavodhani, na tuna tabia ya kuwakaribisha Madaktari wote TZ kufanya nao majadiliano ya research za kiafya Mfano EBOLA walikuja Madaktari wote TZ Kina Dr Manyonyi, Dr kingu. Dr Mnzava, Dr Ulusubisya, Dr Liburu, L. Chipata, Dr Liwa na
Wengine weeengi kutoka kila kanda sasa wewe kwa mawazo yako unawaza usawa wa kinywa! na chuki fupi fupi!! utafiti wa afya ni wa kila kada ili mradi tu umeonyesha nia na mwelekeo chanya wa kufikia malengo ya Taifa,
Usitufundishe kazi iliyokushinda!! kaa pembeni!!! daima humu NIMR ni ya wote tuko hivo na tutakuwa hivo, kikubwa zingatia nidhamu zaa kitafiti!! utakaa nasi!! usijaribu kutupangia wala kuingiza siasa za maji taka!
Sisi ni wataalamu!! yes!! tuko hivo kwani nini bana!! hata Rubani. Mwanasiasa!! Mwanga, mwenye maono ya Kitabibu au kiujumla kiafya tunamkaribisha kwa mikono miwili! tunajua tunakokwenda na tunako toka!
Hatuyumbi na kila upepo unao vuma eti kwa sababu tulikufukuza weee!! thubutu!! fikiria mara mbili ndivo tulivo! kazi yetu sisi ni utafiti wa magonjwa ndo tulivo amua! tuna tambaa na ruzuku tofauti na unavo fikiria! chapa kazi acha majungu!!
Tunacho jali ni uwezo wa mtu yeyote, mwenye nia na sababu za kutatua tatizo la kiafya Duniani, kuna mpaka waganga wa kienyeji humu, hata wewe km ukijirekebisha na umekuja na wazo jipya tutakurudisha tena!
Tatizo lenu waswahili mnaendekeza ulaji wa kishamba mnooo!! kisa vijisenti!
NIMR ISIFUTWE KAMWE, ILA IFANYIWE MAREKEBISHO TUUUU!! NARUDIA SIJAKOSEA...........IKITOKEA imefutwa kwa chuki za kisiasa na ujinga wa ki tz KM HUU itakuja kwa umbo lingine tofauti Kabisaa!!