NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza makali ya Corona

NIMR yatengeneza dawa ya kupunguza makali ya Corona

Wametengeneza baada ya na wao kusikia kuwa zinasaidia sasa wamechukua nafasi kupiga biashara kiuraini... watanzania wengi wamepona kwa kutumia malimau na tangawizi pia kwa radha ya asali
Daily shemeji yenu ananipiga dozi hio kama juice
 
Hili jambo la kupongezwa na kuungwa mkono na Watanzania wote. Tuwatie moyo na kuwathamini wataalamu wa ndani.

Serikali iwape ruzuku ili dawa hiyo ipatikane kila kona ya nchi yetu na kwa bei nafuu, ili iwafikie watu wengi na pia waweze kuinunua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili jambo la kupongezwa na kuungwa mkono na Watanzania wote. Tuwatie moyo na kuwathamini wataalamu wa ndani. Serikali iwape ruzuku ili dawa hiyo ipatikane kila kona ya nchi yetu na kwa bei nafuu, ili iwafikie watu wengi na pia waweze kuinunua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vema mkuu!
 
siwezi kuwa na uhakika moja kwa moja, lkn mimi binafsi huo ni mchanganyiko ambao hata niwe na mafua makali vipi plus kikohozi, ntachagua kutumia huo mchanganyiko kuliko dawa za kisasa. Mim inanisaidia sana, tena sana.

Hakika mchanganyo wa asali, tangawiz, limao na kitunguu swaum ni dawa, hata kwa mafua makali. sometimes unaweza weka limao, tangawiz, na kitunguu swaum then ukachemsha na kuweka chumvi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga mtakufa,

Mtaisha mana hamuambiwi mkasikia. Tangu lini upuuzi huo ukaua Viruses? Viruses are very stubborn! Vaccine and any viral medications are difficult to achieve especially these rapidly mutating viruses
 
Mzungu ameshindwa ngozi nyeusi ndio ataweza?
Akili kama za kwako ni afadhari kuondoka duniani,kupunguza uchafu. Mzungu ni nani mpaka umtukuze na kujidharau? Jinga kabisa

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Dahh mkuu alisema huu ndio Muda wa vyuo kuonyesha ubora

Embu tunaomba wale wataalam wa biotechnology kutoka Sua, Udsm na vyuo vingine vyenye fani inayoendana na hiyo wafanye research tupate kitu chenye mashiko zaidi..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom